Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Afanya Mazungumzo Na Rais Tuong Wa Vietnam Leo

Unajua nini kinafuata? Utasikia mh. Kikwete amekwenda tena ikulu kuonana na mh. Magufuli
tena sasa inabidi Magufuli amfungie milango kabisa kabisaili aweze kuongoza kwa mtizamo wake! Sidhani kama kuna cha kumsaidia kwani kwa miaka yake KUMI ilikuwa ni UOZO mtupu hivyo aache kudume kisafishe UOZO.
 
Mimi magambas huwa siwaelewi! Sasa hii ziara ya Rais wa Vietnam ni ya kichama au ya kiserikali? Mwenye kuwa na fununu anisaidie.
Serikali isiyotambua shughuli za kichama na kiserikali daima huchanganya mambo bila kujua
 
JK ni mfano tosha kuwe na kipindi cha kama miaka miwili kabla ya raisi kumaliza muda wake aanze kupangiwa utaratibu wa kuchukulia mambo easily tofauti na kazi alizozizoea; watu wa usalama waanze ku control wao shughuli za serikari.

Ukiangalia huyu bwana hayuko tayari kustaafu kazi za umma despite ya kuwa na kila kitu kwenye maisha, kwa sasa JK ata akipewa udiwani ataupokea tu ikibidi aingine vikao vya madiwani huko Msoga kazi ndio kitu pekee alichokizoea kwenye maisha yake inaonekana na hili sasa linaonekana alikufanyiwa kazi kama retirement adjustment ya raisi mpaka siku ya mwisho.
 
Huyu mkwere hana aibu kabisa pamoja n.a. kulipotosha taifa hili bado ananguvu ya kusimama kwa public
 
View attachment 328666

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha Rais wa Vietnam Truong Tan Sang, kwa ajili ya mazungumzo ya pamoja na viongozi wengine katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Rais huyo yupo katika ziara ya kikazi nchini.
ikulu ni ikulu huyu kaka kaanza kuwa mweusi wakati alikuwa anangaa sanaa au kapunguza kunywa maji
 
JK hakubaliani na uhalisia wa MSTAAFU, alishindwa kutulia nyumbani akiwa kiongozi akabariki uundwaji wa majipu, leo anashindwa kutulia msoga kila kukicha ikulu, akipewa uwaziri wa mabo ya nje atakubali tu huyu jamaa.
 
Asante JK kwa kutuachia mashule. Kuna watu walikuwa wanatamba sana, kwasasa akina Hussein na John ngoma droo, Malipo yako autayakuta kwa Mungu, Mungu anapenda haki na usawa! ulitutendea haki na usawa, hukutaka matabaka! wanaokuchukia ni wale wasiopenda haki na usawa!
 
Masikini nawahurumia Vifaru wetu. Kama hawa jamaa wataingia hapa wanaamini pembe (poda) ya faru inatibu cancer.

Na pembe moja inaweza kuwa kama kilo 3 hivi kila kilo ni $100,000 zaidi ya thamani ya dhahabu. Vifaru wa SA wanaisha hata waweke camera kwenye miti yote lakini jamaa wataiba tu
 
Back
Top Bottom