kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Asiyetambua mchango wa jk tanzania, afrika na duniani kwa ujumla ni atakuwa na matatizo na chuki binafsi.
Wewe hata wa nyumba kumi HUNA. tehtehTuzo nyingine ni za kipuuzi kabisa
Amebaki kuonea husda nafasi za wenzieWewe hata ya nyumba kumi HUNA. tehteh
Pinda ni Mkulima, JK ni Mshauri, atawashauri akina Pinda.Badala ya kumpa Pinda aliyeonyesha kilimo kwa vitendo...! Wanampa huyu asiyekuwa hata na bustani ya maua kwake
Huu ni msemo ambao hauchuji aisee. AnastahiliNabii hakubaliki nyumbani. Hongera JK
Mnajitoa ufahamu kumtetea Mkwere njaa mbaya sanaMbona POVU huu mchezo hautaki hasira.
Hakuna njaa swaumu tupu. Futari haiko mbali.Mnajitoa ufahamu kumtetea Mkwere njaa mbaya sana
Aliwahi kataa kata kata uteuzi wa Lowasa kuwa mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM
Eti?Potential ya huyu mtu inajulikana dunia nzima! mwache aisaidie DUNIA
Kamuulize Kingunge alitoa hotuba ndefu kuhusu hiloWe ulijuaje kama ni yeye ndio amekataa? kivipi sasa
Kamuulize Kingunge alitoa hotuba ndefu kuhusu hilo
HahahahPinda ni Mkulima, JK ni Mshauri, atawashauri akina Pinda.