Rais mpya wa Somalia amteua mwanamke mwenye asili ya kitanzania kuwa Waziri

Sijaona hata chembe za kuwafatilia mamb yasio kuhusu sasa hapo tangu karne ya 18 mpk sasa karne ya 21 do you think is true just refer kwenye katiba yako
 
Hongera yake,IPO siku tutajivunia manji akiwa kiongozi huko ambako tutaambiwa manji ndio Kwao maana tunaambiwa sio RAIA wa tz
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Khaaaà karne ya 18?????? Bado ni mtz
Yah hao ni Watanzania wenzetu waliopelekwa huko Somalia na hawajapoteza asili yao kama wale Wamarekani weusi. Bado wanaongea kizigua na majina yao ni ya asili .Wanaongea kizigua kwa sababu waliopelekwa huko wengi walikuwa wazigua lakini pia kuna makabila mengine ya TZ.Kuna kipindi cha Rais Mkapa kulikuwepo na mpango wa kuwarejesha hata hivyo ulishindikana kutokana na ukosefu wa fedha. Google Somali Bantu yatapata taarifa zao
 
Kwa mujibu ya Wazigula wahanga waliopo somalia, wanadai walipelekwa na warabu enzi za utawala dhalimu wa SAID BARKHASH na kuwauzia wasomali, sasa wewe unasema wamekwenda wenyewe watafute nini somalia?
Kwa nini tunajidharau?Wasema watafute nini?Wanatafuta maisha,Somalia ni nchi ya kiafrika,wamekwenda kufanyakazi,biashara nk.Mbona hawa wasomali waliokuja huku hatusemi wameletwa kama watumwa,na Said Barkhash?
 
Kwa nini tunajidharau?Wasema watafute nini?Wanatafuta maisha,Somalia ni nchi ya kiafrika,wamekwenda kufanyakazi,biashara nk.Mbona hawa wasomali waliokuja huku hatusemi wameletwa kama watumwa,na Said Barkhash?
Wasomali waliopo huku wamekimbia kwao. Hakuna mtanzania aliyekimbilia Somalia
 
Wakati anachukua fomu ya udiwani hawakuliona hilo
hahahahlabda makonda kuna kitu alikitaka manji akamnyima narejea maneno ya mchungaji gwa alisema huyo jamaa akikipenda kitu chako hata mke akimtaka ukimnyima tu anakuingiza kwenye list ya ngada
 
Manji ni mhindi ana asili ya hindia na uhindi wake haiwezi futika wala kubadilika coz mungu ndio alie utegeneza, lakini uraia ni kitu binadamu ndio alie uleta hapa duniani
 
Mkuu naona wewe una mengi ya kutudjuuza, kuhusu wasomalia wenye asili ya kitanzania wazigua, Tafadhali tupe habari zao
 
Back
Top Bottom