sasala
JF-Expert Member
- Oct 22, 2013
- 372
- 264
kuna nafasi huwezi wapa vijana .
Nyerere, kawawa, kambona et al. wote walikuwa na nyadhifa kubwa sana wakiwa vijana kabisa.
kuna nafasi huwezi wapa vijana .
Mtu anateuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi huku ana miezi nane tu kabla ya kufikia umri wa kustaafu kwa lazima.Nchi haiongozwi kwa kumuangalia Obama. Sheria ndo imeweka kikomo cha miaka 60 kwenye utumishi wa umma (except for Judges na JWTZ). Sheria ifuatwe, la sivyo mfanye amendment ya sheria.
Rais kafeli kabisa kwenye kuzingatia utawala wa sheria. Bahati mbaya sana hata viongozi wa chini wameshaanza kucopy hii style. Huko mbeleni shida itatokea kubwa tuMtu anateuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi huku ana miezi nane tu kabla ya kufukia umri wa kustaafu kwa lazima.
Huku mwingine anayeondoka ameshapita umri wa kustaafu kwa mwaka mzima na rais anasema atapanguwa kazi nyingine.
Kama moja ya kazi ya rais ni kuonyesha mfano wa utawala unaofuata sheria na taratibu, Magufuli kashafeli.
Sasa hivi utaona kila mtu anataka awe Magufuli wa kuchongwa.Rais kafeli kabisa kwenye kuzingatia utawala wa sheria. Bahati mbaya sana hata viongozi wa chini wameshaanza kucopy hii style. Huko mbeleni shida itatokea kubwa tu
Nakubaliana na wewe mkuu, kama sheria imekiukwa hakuna haja kutetea hilo. Kama sheria haifai kwa wakati tulionao sasa ifanyiwe marekebisho. Huwezi kwenda kinyume nayo hata kama ni kwa nia njema maana ndiyo iliyopo haijabadilishwa.Sheria ipo wazi kwenye hili! Rais anafanya kazi nzuri, lakini anapotenda kinyume na matakwa ya kisheria ni lazima aambiwe.
Sasa si tayari anatakiwa kustaafu mwaka huu?Mteuliwa mpya kazaliwa 1956...
Nafasi zinazotakiwa watu kuhudumu kwa mkataba baada ya miaka 60 zimeainishwa wazi kwenye sheria.May be wanahudum kwa mkataba.
kwa sababu vijana wa zamani ni tofauti na wa sasa hivi .. we ukweli unaujuaNyerere, kawawa, kambona et al. wote walikuwa na nyadhifa kubwa sana wakiwa vijana kabisa.
Alafu madaraka yalivyo matamu au sijui niseme watu wamezoea kukaa ofisi za umma na kusahau kuanzisha ofisi zao, unakuta muda umefika wa kustaafu na yeye anauchuna tu as if amebakiza miaka 15 kustaafuMtu anateuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi huku ana miezi nane tu kabla ya kufikia umri wa kustaafu kwa lazima.
Huku mwingine anayeondoka ameshapita umri wa kustaafu kwa mwaka mzima na rais anasema atapangiwa kazi nyingine.
Kama moja ya kazi ya rais ni kuonyesha mfano wa utawala unaofuata sheria na taratibu, Magufuli kashafeli.
Km zipi??,na je hiyo ni kwa mujibu wa sheria au ni kwa mujibu wa uonavyo wewe??.kuna nafasi huwezi wapa vijana .
Majaji ni watumishi wa umma lakini miaka yao ya kustaafu ni zaidi ya 60!Tunazungumzia sharia ya utumishi wa uma, akitaka apeleke mswada bungeni sheria ibadilishwe najua bunge letu litapitsha hata akitaka watu wafie kazini, kwa jinsi bunge letu lolivyo watapitisha
Uwezo wa kufikiri kwa hekima bado upo chini wengi wanaongozwa na mihemko .. Japo wapo vijana wenye hekima kuliko wazeeKm zipi??,na je hiyo ni kwa mujibu wa sheria au ni kwa mujibu wa uonavyo wewe??.
miss chagga mimi nadhani mtu kutumikia vizuri ktk nafasi yake huwa haijalishi umri,km ulivyokwisha kusema,cha msingi na cha sekondari ni yeye mhe,kuteua watu walio wachapakazi na waaminifu.Uwezo wa kufikiri kwa hekima bado upo chini wengi wanaongozwa na mihemko .. Japo wapo vijana wenye hekima kuliko wazee
Siyo kama unavyodhania. Unafikiri UKAWA wangekaa kimya siku zote hizi!kwa maghufuli kufuata sheria na taratibu mmmh.....
Cc.Zitto KabweMbona hujawahi uliza why Obama anacahguwa wazee? hatuangalii umri ila kumbuka nafasi hizo ni nyeti ona vile makamba sa hizi anawaweka watu roho juu je angepata nafasi nzito kama hizi ingekuwaje, nilisha sema vijana tulieni wakati ukifika mtachaguliwa na tujifunze kutoka kwa wazee.