Rais Magufuli yuko sahihi kwenye suala la kazi

Naungana na Rais Magufuli kwenye swala la kazi.
Ukweli ni kwamba sisi watanzania tunapenda sana maneno zaidi ya kazi.
Kuanzia jana kila mtu amecharuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kauli ya rais kwamba wanaokutwa wakicheza pool table muda wa kazi wakamatwe.
Wengi wanasema mashamba ya kulima hakuna na mitaji pia hakuna.

Mimi nakataa hili kabisa, siyo kweli kwamba mashamba hakuna na siyo kweli kwamba mitaji hakuna.

Tatizo ni kwamba watu hawapo tayari kuvuja jasho, kila mtu anataka aongee ongee tu halafu hela ziingie zenyewe.
Wengi wanataka mashamba na mitaji viwafuate pale walipo, haijawahi kutokea hivyo, na kama unasubiri subiri sana.

Sasa kufupisha hadithi ili na mimi nisiwe muongeaji sana tukubaliane hili.
Naamini kila mtu anayepata mtandao wa intanet na kuingia kwenye mitandao hii ya kijamii ana simu ambayo bei yake siyo chini ya laki moja, na kila siku anaweka vocha siyo chini ya shilingi mia tano, na bado kuna matumizi mengine ambayo siyo ya msingi unafanya, ukiongeza na muda unaopoteza kila siku kwenye mitandao hii ni mtaji tosha kabisa.

Ufanye nini sasa?
Uza simu yako, punguza gharama zako za maisha kwa asilimia 50, usinunue chochote cha anasa.

Kama upo dar nenda mkuranga, au vikindu, au ikwiriri, au bagamoyo.
Ulizia wanaofanya kilimo cha muda mrefu, kama tikiti maji, nyanya chungu na kadhalika.

Kodi eneo la nusu heka tu, ni fedha ndogo, tafuta mtu wa kusaidiana naye kulima, nunua mbegu na panda.

Ukishafikia hatua hii, watafute watu 100 unaowafahamu, watafute ukutane nao ana kwa ana. Waelezee dhumuni lako la kufanya kilimo na weeleze ulipofikia. Na kila mmoja muombe elfu kumi tu kama mchango kwenye jitihada zako hiki mpya. Katika hawa 100, hutakosa watu 50 watakaokupa elfu kumi, na wengine wanaweaa kukupa zaidi ya hapo.

Hapo sasa utakuwa na siyo chini ya laki tano, ambapo unaweza kulima heka nyingine moja na kuendeleza kilimo chako.

Ndiyo, ni rahisi kwa kuekeza hapa, na ngumu kufanya, lakini inawezekana maana mimi nimefanya.

Hivyo uchaguzi ni wako, uendelee kupiga kelele kwenye mitandao iwapo raisi yupo sahihi au la, au uamke sasa na kuchukua hatua unayoweza.

Maisha ni yako na chaguo ni lako, miaka mitano ijayo hutatuonesha ulilalamika nini kuhusu alichosema raisi, ila kuna wenzako watakuonesha ni hatua zipi walizochukua.

Chukua hatua sasa. Rafiki na Kocha wako,

Makirita Amani.
Mia mia big up
 
Hivi shida ya Tanzania ni watu hawafanyi kazi au kazi hazina tija?
 
Tatizo hata huyo Magufuli anapenda maneno kuliko kazi.

Angependa kazi pangenuka hapo bongo.
975397535fe02f0cd373169a4b7ac828.jpg

Hiyo picha kapost mkuu wa wilaya ya Iringa.
 
Naungana na Rais Magufuli kwenye swala la kazi.
Ukweli ni kwamba sisi watanzania tunapenda sana maneno zaidi ya kazi.
Kuanzia jana kila mtu amecharuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kauli ya rais kwamba wanaokutwa wakicheza pool table muda wa kazi wakamatwe.
Wengi wanasema mashamba ya kulima hakuna na mitaji pia hakuna.

Mimi nakataa hili kabisa, siyo kweli kwamba mashamba hakuna na siyo kweli kwamba mitaji hakuna.

Tatizo ni kwamba watu hawapo tayari kuvuja jasho, kila mtu anataka aongee ongee tu halafu hela ziingie zenyewe.
Wengi wanataka mashamba na mitaji viwafuate pale walipo, haijawahi kutokea hivyo, na kama unasubiri subiri sana.

Sasa kufupisha hadithi ili na mimi nisiwe muongeaji sana tukubaliane hili.
Naamini kila mtu anayepata mtandao wa intanet na kuingia kwenye mitandao hii ya kijamii ana simu ambayo bei yake siyo chini ya laki moja, na kila siku anaweka vocha siyo chini ya shilingi mia tano, na bado kuna matumizi mengine ambayo siyo ya msingi unafanya, ukiongeza na muda unaopoteza kila siku kwenye mitandao hii ni mtaji tosha kabisa.

Ufanye nini sasa?
Uza simu yako, punguza gharama zako za maisha kwa asilimia 50, usinunue chochote cha anasa.

Kama upo dar nenda mkuranga, au vikindu, au ikwiriri, au bagamoyo.
Ulizia wanaofanya kilimo cha muda mrefu, kama tikiti maji, nyanya chungu na kadhalika.

Kodi eneo la nusu heka tu, ni fedha ndogo, tafuta mtu wa kusaidiana naye kulima, nunua mbegu na panda.

Ukishafikia hatua hii, watafute watu 100 unaowafahamu, watafute ukutane nao ana kwa ana. Waelezee dhumuni lako la kufanya kilimo na weeleze ulipofikia. Na kila mmoja muombe elfu kumi tu kama mchango kwenye jitihada zako hiki mpya. Katika hawa 100, hutakosa watu 50 watakaokupa elfu kumi, na wengine wanaweaa kukupa zaidi ya hapo.

Hapo sasa utakuwa na siyo chini ya laki tano, ambapo unaweza kulima heka nyingine moja na kuendeleza kilimo chako.

Ndiyo, ni rahisi kwa kuekeza hapa, na ngumu kufanya, lakini inawezekana maana mimi nimefanya.

Hivyo uchaguzi ni wako, uendelee kupiga kelele kwenye mitandao iwapo raisi yupo sahihi au la, au uamke sasa na kuchukua hatua unayoweza.

Maisha ni yako na chaguo ni lako, miaka mitano ijayo hutatuonesha ulilalamika nini kuhusu alichosema raisi, ila kuna wenzako watakuonesha ni hatua zipi walizochukua.

Chukua hatua sasa. Rafiki na Kocha wako,

Makirita Amani.
b00d5def115b9531c432cceccc0a9347.jpg

Watu wanapiga kazi ila mazingira haya ndo yanawakatisha tamaa....
 
ninunulie generator chimba na kisima mi ntalima na soko ntatafuta mwenyewe. Dalaliakija kununu hayo matikiti anagoga gonga na vidole anakuambia reject karibia nusu sijui utakua umekata insurance ya nusu heka?
 
Ndomana namwambiaa aje huku alime so anataka kulima tu!hao bado hawajakutana na changamoto wanazokutana nazo wakulima
1498231f9b1790ad7d91ad9db648f7bc.jpg

Hao huwa nawaita wazee wa Davos.... Wazee wa talk shops!!! Talalila nyingi ilhali hajawahi Lima hata tuta la mchicha!!!

Hao ndo wazee wa kuuza maneno ya ujasiriamali ilhali hawajawahi jaribu,

Watuulize sisi tuwaambie..... Unawekeza 2M ghafla mafuriko hayoooo.... Au ukame na mtaji wenyewe maskini kakopa benki analipaje hapo?

Haha hao tunawatazama tu!!!
 
Naungana na Rais Magufuli kwenye swala la kazi.
Ukweli ni kwamba sisi watanzania tunapenda sana maneno zaidi ya kazi.
Kuanzia jana kila mtu amecharuka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kauli ya rais kwamba wanaokutwa wakicheza pool table muda wa kazi wakamatwe.
Wengi wanasema mashamba ya kulima hakuna na mitaji pia hakuna.

Mimi nakataa hili kabisa, siyo kweli kwamba mashamba hakuna na siyo kweli kwamba mitaji hakuna.

Tatizo ni kwamba watu hawapo tayari kuvuja jasho, kila mtu anataka aongee ongee tu halafu hela ziingie zenyewe.
Wengi wanataka mashamba na mitaji viwafuate pale walipo, haijawahi kutokea hivyo, na kama unasubiri subiri sana.

Sasa kufupisha hadithi ili na mimi nisiwe muongeaji sana tukubaliane hili.
Naamini kila mtu anayepata mtandao wa intanet na kuingia kwenye mitandao hii ya kijamii ana simu ambayo bei yake siyo chini ya laki moja, na kila siku anaweka vocha siyo chini ya shilingi mia tano, na bado kuna matumizi mengine ambayo siyo ya msingi unafanya, ukiongeza na muda unaopoteza kila siku kwenye mitandao hii ni mtaji tosha kabisa.

Ufanye nini sasa?
Uza simu yako, punguza gharama zako za maisha kwa asilimia 50, usinunue chochote cha anasa.

Kama upo dar nenda mkuranga, au vikindu, au ikwiriri, au bagamoyo.
Ulizia wanaofanya kilimo cha muda mrefu, kama tikiti maji, nyanya chungu na kadhalika.

Kodi eneo la nusu heka tu, ni fedha ndogo, tafuta mtu wa kusaidiana naye kulima, nunua mbegu na panda.

Ukishafikia hatua hii, watafute watu 100 unaowafahamu, watafute ukutane nao ana kwa ana. Waelezee dhumuni lako la kufanya kilimo na weeleze ulipofikia. Na kila mmoja muombe elfu kumi tu kama mchango kwenye jitihada zako hiki mpya. Katika hawa 100, hutakosa watu 50 watakaokupa elfu kumi, na wengine wanaweaa kukupa zaidi ya hapo.

Hapo sasa utakuwa na siyo chini ya laki tano, ambapo unaweza kulima heka nyingine moja na kuendeleza kilimo chako.

Ndiyo, ni rahisi kwa kuekeza hapa, na ngumu kufanya, lakini inawezekana maana mimi nimefanya.

Hivyo uchaguzi ni wako, uendelee kupiga kelele kwenye mitandao iwapo raisi yupo sahihi au la, au uamke sasa na kuchukua hatua unayoweza.

Maisha ni yako na chaguo ni lako, miaka mitano ijayo hutatuonesha ulilalamika nini kuhusu alichosema raisi, ila kuna wenzako watakuonesha ni hatua zipi walizochukua.

Chukua hatua sasa. Rafiki na Kocha wako,

Makirita Amani.
Nahdani Mh Rais alikuwa anawambia watu kama wewe, ambae unaajira halafu unaachafanyakazi unakuja huku kutuandikia ujinga. Kwanini nakuambia hivyo? Huyo huyo Mh Rais alijinadi kwakusema atatengeneza ajira, na alieleza kwa njia ya kujenga viwanda ambavyo vinaajiri watu wengi. Je hivyo viwanda keshajenga? Kingine unaeleza vijana wakalime matikiti, kwanza hujaeleza serikali imeweka mfumo upi wakuwawezesha vijana waweze jiajiri wenyewe bila kupitia mabank kwan unajua iliupate mkopo nini ninatakiwa, hujui hata kama soko la matikiti linakuwaje! Lingine sio kwamba kila anayecheza pool table ni mvivu, kumbuka mwenye pool table mwenyewe kajiajiri na hivyo ndivyo anavyopata ugali wake. Hapo bado hujaangalia mfumo wa elimu yetu, hujaangalia ushindani katika soko la ajira. Ni vitu vingi mheshimiwa acha maneno maneno bila utafiti!
 
Back
Top Bottom