Rais Magufuli: Wanaotunyima misaada muwaonee huruma

Nguruvi3 bana... naona umeng'ang'ana na Lugumi kama vile imetokea jana na kwamba imelifilisi taifa. Wizi umeshatokea, acha uchunguzi umalizwe na watuhumiwa wakamatwe ndio tamko litolewe. Huo ni wizi na hauwezi kukurupuka kufukuza kazi bila detailed facts... take easy kitafahamika
 
Hao siju Lugumi wanaweza kuwa magumashi kwa vigezo vingine..
Lakini nimesikitika kusikia kamati ya Bunge inatumia kigezo cha kuwa kampuni changa ...
Sasa hawa wachanga kazi wapate wapi?
Hao Giant (like IPTL) wana tofauti gani...
Kuna watu kadhaa nawajua walijaribu kujiajiri wakashindwa kwa kuwa kila waendako wanapigwa chini kwa kuwa ni 'wachanga'...
tutakuza ujasiriamali tukiwa na hizi mentality kweli?

Kuna sister angu alianzisha NGO na mshikaji wake...
Walipoenda kuomba fund wazungu wakakubali kuwa proposal yao ni the best...
Akatokea mbongo mmoja ambaye alikuwa na kacheo kwa hao donor ndio akaharibu...
Eti hawa nawajua vizuri ni wachanga...
Dada yangu alimchukia sana huyu mmbongo...na alimpa hasira ya kutafuta life ...na sasa amemuwacha mbaaali
 
Mkuu jeshi la Polisi ni chombo anachosimamia. Kauli yake ilikuwa rahisi sana, 'toeni mkataba' kwa kamati ya bunge!

Hili la kusbiri kamati ya bunge ni kutaka kukwepa ukweli kwa kubabaisha. Unakumbuka escrow ilivyobabaishwa na akina Makinda? Mbona bandarini hakusbiri alikuwa na majina kupitia Maja!

Tusitwike kamati ya bunge mzigo. Aliposikia Kilango anadanganya akatuma tume mara moja
Mbona hili wana kigugumizi?
We umejuwa vip kuwa ana kigugugmizi.
Unaona hatua zinafanyika, linahitajika kuuona mkataba. Wao wameuomba mkataba, then wakushajiridhisha kivyovyote then wanakuja na tamko au kuwapa takukuru wafanye kazi yao..
 
Mbowe ashakishawahi kuzungumziwa katika kashfa fulanifulani hapo nyuma ( katika awamu ikiyopita) mbona haukuomba wamkamate mara moja?
Au kwa kuwa yuko upande huo unaouamini wewe kuwa ni Malaika?
Haya mambo sio kila wakati yanatakiwa short cut, mda mwingine yanatakiwa iufuata uchunguzi.
Isitoshe hili jambo ni la miaka miiiingi nyuma, hivyo limehusisha ubadhilifu wa fesha hapo nyuma.
Ila la bandalini ni jambo lililokuwa linaendelea, hivyo lisingechukuliwa hatua haraka saana, basi ingekuwa bado yunaumia hadi sasa.

Jambo La Malechela, hili pia lilitanguliwa na uchunguzi wa timu yake..... Na alipogundua uongo wake akamchukulia hatua.
Kwahiyo hata hili kuna uchunguzi unafanyika then watakapojiridhisha watachukua hatua, ingawa mie nna amini hautofurahia hatua hiyo. Maana unaonekana utakosa cha kuongea ( Kukosoa ) .....
Kuwa mtulivu kama kweli una upendo wa nchi yako utafurahi hapo baadaye, na kama unatafuta cha kusema basi pia utakasirika hapo baadaye.
 
Wakati akiongea baada ya kupokea hundi ya shilingi bilioni sita kutoka kwa Katibu wa Bunge la Tanzania kwa ajili ya kununulia madawati, Rais Magufuli amewaomba watanzania wasishangilie pale nchi inaponyimwa misaada bali wawaombee kwa Mwenyezi Mungu wale wanaotunyima misaada kwa sababu Tanzania itapiga hatua mbele na serikali imejipanga kuhakikisha nchi inasonga mbele kwa haraka.

Rais amewaomba waandishi wa habari wawe wazalendo kwa taifa lao na waisaidie serikali katika juhudi zake za kuleta maendeleo ya haraka na pia wawe tayari kukosoa na kuelimisha katika mlengo wa kujenga Taifa na sio kubomoa Taifa.

''Niwaombe waandishi muwe wazalendo kwa Tanzania yetu kwa sababu na ninyi pia mnapata shida za kimaisha’’ Rais alisema.

''Kuna watu wachache walizoea vihela vya hovyo hovyo na ninaamini wanachukia tunapochukua hatua kali. Tuwaache wachukie ili tuivushe Tanzania yetu mahali pazuri kwa faida yawatanzania wote na tusipochukua hatua kali tutakuwa hatuna uhalali wa kuitwa viongozi. Nia ya serikali yangu ni kuhudumia wananchi wote na siyo wachache’’ alisema.

Aliendelea kusema, ''Ni aibu kwa Rais kwenda kila mahali nchini na kukuta wananchi wake wanalia kwa sababu ya shida wanazozipata katika maisha yao wakati kuna watu wachache nchini wanafanya mambo ya hovyo’’. Ni lazima viongozi tujenge tabia ya kuwajibishana na tusipowajibishana hatuwezi kuivusha Tanzania yetu mahali pazuri''.

Alimalizia kwa kusema, ''Nia ya serikali yenu ni nzuri kwa faida ya Tanzania yetu’’

VIDEO:

Kinachofurahisha ni kuwa rais ameamua kuwa mpinzani wa serikali yake mwenyewe, anaikosoa na kuirekebisha mwenyewe, safi sana.
 
Tunahitaji mtusaidie sisi mazezeta. Mkuu swali ni moja, LUGUMI wamelipwa pesa tayari kulingana na MKATABA walioingia na serikali. Faili la malipo lipo, kwanini MKATABA uliotumika kupata pesa uchukue masiku na masiku, barua na sasa siku 3 KUUTOA KATABATINI.

Hivi hiyo tenda ilitangazwa wapi? Binafsi ningeweza kutekeleza Project nzima kwa gharama ya chini ya TSh.200Million sitanii, tatizo la baadhi ya Watanzania waliopewa dhamana ya kusimamia taasisi zetu nyeti, ukiwapelekea gharama za ukweli wao wanaongezae sufuri lukuki mbele ili isomeke billion ishirini - watu hatari sana hawa.
 
Kwani mkataba si upo? Kitu gani kinachosumbua kuotoa! Kwanini ichukue siku tatu kutoa karatasi kabatini? Nini kinaogopwa hapa

Hatuhitaji unafiki, tunataka ukweli. Leo tunaambiwa hakuna muda wa kusubiri kutokana na kasi, halafu tunasikia kamati ya bunge hadi itoe siku 3 kutoa karatasi kabatini

LUGUMI itatueleza mengi kuhusu ukweli wa serikali hii!

Yaani kutoa karatasi kabatini inachukua siku 3! ubabaishaji huu utaisha lini

Wahusika wamekaa kimyaa! Lipo neon LUGUMI.

Wananchi tunataka kujua kutoa mkataba kwanini imekuwa nongwa? Nini kinafichwa na serikali ya awamu ya tano? Nini hasa kinafichwa kuhusu LUGUMI?

Sikiliza bwana Nguruvi3 sio kila chemical reaction inahitaji catalyst kuspeed up reaction zingine hureact zenyewe automatically na hazihitaji interruptions, so please try to understand
 
Mkuu jeshi la Polisi ni chombo anachosimamia. Kauli yake ilikuwa rahisi sana, 'toeni mkataba' kwa kamati ya bunge!

Hili la kusbiri kamati ya bunge ni kutaka kukwepa ukweli kwa kubabaisha. Unakumbuka escrow ilivyobabaishwa na akina Makinda? Mbona bandarini hakusbiri alikuwa na majina kupitia Maja!

Tusitwike kamati ya bunge mzigo. Aliposikia Kilango anadanganya akatuma tume mara moja
Mbona hili wana kigugumizi?
....hapa wala hakuna haja kupindisha maneno,issue ni kwamba mtoto wa kigogo anahusika,nilichoamua kwa nafsi ni kuwapa muda wote,wafanye uchunguzi wa kila aina wanaoutaka,ila mwisho wa siku, nataka kuona hatua zitakazochukuliwa, ziwe sawa sawa na wale wengine walioitwa majipu!, siku tatu sio nyingi,mbona ni kesho tu,rilaxxx!
 
MsemajiUkweli Tumemsikia mara nyingi na maneno hayo hayo(whining)
Tunataka atoke atuambie LUGUMI kilitokea nini.

Hili la Lugumi wote wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tunahitaji kusikia nini kimetokea?

Yaani.. Mnadaka daka tu vijitukio. Mbona hiyo scadal bado ipo kwenye mamlaka ya PAC na Bunge!? Duuuu!
 
Hao siju Lugumi wanaweza kuwa magumashi kwa vigezo vingine..
Lakini nimesikitika kusikia kamati ya Bunge inatumia kigezo cha kuwa kampuni changa ...
Sasa hawa wachanga kazi wapate wapi?
Hao Giant (like IPTL) wana tofauti gani...
Kuna watu kadhaa nawajua walijaribu kujiajiri wakashindwa kwa kuwa kila waendako wanapigwa chini kwa kuwa ni 'wachanga'...
tutakuza ujasiriamali tukiwa na hizi mentality kweli?

Kuna sister angu alianzisha NGO na mshikaji wake...
Walipoenda kuomba fund wazungu wakakubali kuwa proposal yao ni the best...
Akatokea mbongo mmoja ambaye alikuwa na kacheo kwa hao donor ndio akaharibu...
Eti hawa nawajua vizuri ni wachanga...
Dada yangu alimchukia sana huyu mmbongo...na alimpa hasira ya kutafuta life ...na sasa amemuwacha mbaaali
...hao wachanga walipewa kazi na ikulu,na aliyekuwa muunganishaji ni mtoto wa yule kigogo wa kawaida,ambaye walianzisha urafiki,mara tu baada ya Lugumi kumuoa mtoto wa Saidi Mwema aliyekuwa akiitwa Khadija,hata hivyo hiyo ndoa ilishasambaratika though wana watoto wawili.
 
Kwani mkataba si upo? Kitu gani kinachosumbua kuotoa! Kwanini ichukue siku tatu kutoa karatasi kabatini? Nini kinaogopwa hapa

Hatuhitaji unafiki, tunataka ukweli. Leo tunaambiwa hakuna muda wa kusubiri kutokana na kasi, halafu tunasikia kamati ya bunge hadi itoe siku 3 kutoa karatasi kabatini

LUGUMI itatueleza mengi kuhusu ukweli wa serikali hii!

Yaani kutoa karatasi kabatini inachukua siku 3! ubabaishaji huu utaisha lini

Wahusika wamekaa kimyaa! Lipo neon LUGUMI.

Wananchi tunataka kujua kutoa mkataba kwanini imekuwa nongwa? Nini kinafichwa na serikali ya awamu ya tano? Nini hasa kinafichwa kuhusu LUGUMI?
Mkuu hii issue ya Lugumi si inashugulikiwa? au unataka results overnight, turudi kule kule kwenye yale yaliyomkuta mama malechela kwa kukurupuka?
 
sasa yeye anapotoa maagizo kuna vyombo vya kutekeleza na huwezi kila kitu kinapo tokea unaongea inaitaji kuchunguzwa na ndipo atakapo ongea au kuchukua hatua.
siasa ni mchezo mchafu unatakiwa kuchezwa smart na mtu mwenye akili kubwa anaelewa mambo ila ukihendeshwa na mihemko utaishia kukurupuka na kuongea vitu ambavyo vitakuja kukugeuikia
Wee niwalewale waakili ya Mizengwe pinda kwamba fisadi akishughukiliwa NCH itayumba....watu wanakomaa kutokana na Historia ya EPA na ESCROW au ulikuwa hujazaliwa siku hizo!
 
huna access na hizo taarifa ndo maana ila wenye access wanapata kingine cha kuongezea ni kwamba uchunguzi unapo fanyika unacovarage kubwa zaidi kuanzia mtu wa kwanza mpaka wa mwisho.
na third part wote walio usika.
tofautisha siasa na investigation.

wewe ishu ya luguni umeijua lini? unataka liongelewe lini kuna vyombo vinavyo husika vikimaliza vinatoa ripoti kwa wakuu wa nnchiwao ndo wanakao weza kuongea
Acheni ujinga huu wakuhamisha Magori....Issue ni MKATABA uliotumika kumlipa LUGUMI unatakiwa kwenye Kamati ya BUNGE hukuambiwa kwanini wanachelewa kuwachukulia Hatua elewa hoja usiongee ilimradi nawe usikike
 
We umejuwa vip kuwa ana kigugugmizi.
Unaona hatua zinafanyika, linahitajika kuuona mkataba. Wao wameuomba mkataba, then wakushajiridhisha kivyovyote then wanakuja na tamko au kuwapa takukuru wafanye kazi yao..
Nyie watu mnatumiaga viungo gani kufikiri?...au mnadhani bado mko kwenye KAMPENI
 
Back
Top Bottom