IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,048
- 5,636
Waziri wa Elimu anaendelea kupitia hiyo orodha na soon itawekwa hadharani. Tatizo mmewekewa video lakini hamjaiangalia. Maswali yenu yameshajibiwa na RaisEmbu tutajie hao wAtoto wa wakubwa!
Nakwambia katika nchi za ajabu moja ni hii,kwani utawala uliopita ulikuwa haujui hawa watoto ni faliure??kama kweli mnataka kuondoa taifa la vilaza kwanini wasije na maboresho ambayo hayata athiri mpango ulio kuwepo,sidhani kama watangulizi walikuwa wana niambaya kiasi hicho japo kunamapungufu katika mkakati waoJamaa kakurupuka tena kama kawaida yake. Hawa wamepewa msaada na Serikali wa kulipia gharama zao zote za masomo na kujikimu. Kwanini Serikali badala ya kukurupuka isingeangalia ni chuo kipi hawa wanastahili kuhamishiwa na wakafanya hivyo? Wakatafute chuo size yao nani atawalipia hawa hasa ukitilia maanani wanatoka kwenye familia maskini? Huyu jamaa hana sifa hata chembe ya kuiongoza Tanzania. Sera zake za kukurupuka zinaishia kwenye majanga tu.
Vilaza utawajua tuMkuu huyo Lizaboni ni wakumpuuza tu
Umrbadili madahaa! Sasa mbona ana walaumu wapinzani wakati hao watoto waliwekwa huko na CCM. Nadhani wapinzani wana lalamika staili inayo tumika kuwaondoa na kuwapotezea muda. HII NCHI INAMATATIZO YA KIMFUMO....!
Safi sana. Na huu ndo ukweli. Kilaza ni kilaza tuHata kama kuna uhab kama wamechomeka watoto wa vigogo waliotumia mwanya huu bora warudi tu kwa sababu walihaidiwa kujiendeleza mpaka digree, uenda hata waadhili waligoma kwa kuwa ni vijana wagumu kufundishia, hivyo kutumia muda mwingi kuwaelelekeza, ndipo wakaanzisha mgomo
Sasa mbona masomo yake yalifundishwa kwa kiingereza, alikuwa haelewi eeh?Acha ujinga wewe. Kwani kujua kiingereza ndo kuelimika?
Sure!Na hasa kutokà kwa hao ndugu zetu ambao uwezo wa kuchambua na kukiri ukweli kwao ni mdogo
hahaa nimefurahi sana aisee..black and whiteHakika. Anawanyoosha sana. Sijui wale vilaza watasemaje tena
Sasa mbona masomo yake yalifundishwa kwa kiingereza, alikuwa haelewi eeh?
Watoto wa wakubwa wangapi? Ni asilimia ngapi inayotengeneza hao watoto wa wakubwa ambao wamefanya maskini kukosa nafasi. Ina maana hao wengi wao wanatokea familia tajiri?Sikiliza hiyo video utaelewa. Wengine walipelekwa kwa sababu ni watoto wa wakubwa