Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

Hata kama kuna uhab kama wamechomeka watoto wa vigogo waliotumia mwanya huu bora warudi tu kwa sababu walihaidiwa kujiendeleza mpaka digree, uenda hata waadhili waligoma kwa kuwa ni vijana wagumu kufundishia, hivyo kutumia muda mwingi kuwaelelekeza, ndipo wakaanzisha mgomo
 
Jamaa kakurupuka tena kama kawaida yake. Hawa wamepewa msaada na Serikali wa kulipia gharama zao zote za masomo na kujikimu. Kwanini Serikali badala ya kukurupuka isingeangalia ni chuo kipi hawa wanastahili kuhamishiwa na wakafanya hivyo? Wakatafute chuo size yao nani atawalipia hawa hasa ukitilia maanani wanatoka kwenye familia maskini? Huyu jamaa hana sifa hata chembe ya kuiongoza Tanzania. Sera zake za kukurupuka zinaishia kwenye majanga tu.
Nakwambia katika nchi za ajabu moja ni hii,kwani utawala uliopita ulikuwa haujui hawa watoto ni faliure??kama kweli mnataka kuondoa taifa la vilaza kwanini wasije na maboresho ambayo hayata athiri mpango ulio kuwepo,sidhani kama watangulizi walikuwa wana niambaya kiasi hicho japo kunamapungufu katika mkakati wao
 
haa! Sasa mbona ana walaumu wapinzani wakati hao watoto waliwekwa huko na CCM. Nadhani wapinzani wana lalamika staili inayo tumika kuwaondoa na kuwapotezea muda. HII NCHI INAMATATIZO YA KIMFUMO....!
Umrbadili mada
 
Raisi hatuna hapa bora nihame hili li nchi truth be told

 
Hata kama kuna uhab kama wamechomeka watoto wa vigogo waliotumia mwanya huu bora warudi tu kwa sababu walihaidiwa kujiendeleza mpaka digree, uenda hata waadhili waligoma kwa kuwa ni vijana wagumu kufundishia, hivyo kutumia muda mwingi kuwaelelekeza, ndipo wakaanzisha mgomo
Safi sana. Na huu ndo ukweli. Kilaza ni kilaza tu
 
Aisee,asa na walioko vyuo vya binafsi itakuaje? Maana unamkuta mtu anasomea diploma ya medical Laboratory,lkn hana vigezo vya kusoma hata hyo certificate.je,na walioko makazn je?
 
Nimependa alivyowachania black and white...hii ndio sifa ya mtu asie mnafiki...hii program haikua na maana yeyote zaidi ya kutengeneza vilaza waliokua wanaenda kuwagawia ukilaza watoto wetu,,,,kudos Magufuli ...wachanee!!
 
Ni haiwezekani usome hadi Phd kwa kiingereza halafu ukawa na kiingereza kibovu kama cha huyu. Si ajabu alikuwa akibebwa tu na makarai yake.

Sasa mbona masomo yake yalifundishwa kwa kiingereza, alikuwa haelewi eeh?
 
nafikiri ni sawa kuwarudisha nyumbani , lakini utekelezaji haukuwa sawa 24 hrs na hawan hela haikuwa sahihi. wangewachambua Vilaza wanapewa notice ya 7 days kuondoka na wale wanaostahili waendele na masomo.

Je vipi kuwalipa walimu mbona JPM hajasema kituu
Vioi Mzee wa Mboga nimemuona yupo na miwani yake myeusi!!!
 
Back
Top Bottom