Wanabodi,.
Kuna Watu Wanamshagilia Rais Magufuli Machoni Tuu, Lakini Mioyoni Wanalia!.
Ukiachilia majipu tumbuliwa ambao wanajuta kutumbuliwa, wako wengine ambao wanaimba nyimbo za sifa machoni na mdomoni huku moyoni wakijuta kisirisiri kufuatia baadhi ya watumbuliwa kuwa ni watu wao.
Hitimisho.
Jee wewe mwenzetu uko upande gani kwa haya anayoyafanya Mhe.Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, bado unaamini CCM ni ile ile hivyo hata Magufuli akishika chama, things will be the same again, au akishika na chama, kujenga CCM imara, CCM itanyooka, nchi itanyooka, Watanzania tutanyooka, na tutasonga mbele tukiwa chama kimoja?!.
Paskali