Mkuu Daisam ,naunga mkono hoja na bandiko hili ni uthibitisho wa hili.Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.
Nilichogundua ni kwamba, JPM alikuwa ni MOTO wa Nyuklia.
Shida iliyopo sasa ni kwamba, wote waliotofautiana na JPM bado wanamwogopa hata kama amezikwa.
Mbaya zaidi, hata baadhi ya waliopo madarakani bado wanamwogopa, hivyo wanashindwa kujiamini.
Atukuzwe Mungu aliyetuletea JPM ili atuoneshe njia ya kweli.
Baadhi ya wanaoponda JPM sasa ni watu wa kundi hili.Wanabodi,.
Kuna Watu Wanamshagilia Rais Magufuli Machoni Tuu, Lakini Mioyoni Wanalia!.
Ukiachilia majipu tumbuliwa ambao wanajuta kutumbuliwa, wako wengine ambao wanaimba nyimbo za sifa machoni na mdomoni huku moyoni wakijuta kisirisiri kufuatia baadhi ya watumbuliwa kuwa ni watu wao.
Hitimisho.
Jee wewe mwenzetu uko upande gani kwa haya anayoyafanya Mhe.Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, bado unaamini CCM ni ile ile hivyo hata Magufuli akishika chama, things will be the same again, au akishika na chama, kujenga CCM imara, CCM itanyooka, nchi itanyooka, Watanzania tutanyooka, na tutasonga mbele tukiwa chama kimoja?!.
Paskali
mmmhBaadhi ya wanaoponda JPM sasa ni watu wa kundi hili.
P.