Rais Magufuli, unamuona rais wa Ufaransa suala la polisi kuuawa?

Hapa kwetu hatukuona hotuba maalumu ya rais iliyohusu tukio hilo na si rais, si makamu wa rais wala waziri mkuu aliyehudhuria mazishi ya askari 8 waliopoteza maisha
I know JPM muhimu kwake ilikuwa kuzindua hostels (nadhani ingekuwa ni kuzindua chuo basi huenda angepuuza hata vifo vya mawaziri 10). But are you sure wote hao uliowataja aliyehudhuria shughuli za mazishi?!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Pole sana. Nakumbuka Mkuu aliandika barua kutoa rambirambi na pamoja na kuonyesha masikitiko aliomba hatua zichukuliwe na akamtuma Waziri wake ahakikishe anatoa Uzito wa juu. Sasa kwako mtoa mada .moja. Ufaransa imeumizwA sana na Ugaidi. Na kama unafuatilia huku Ulaya ugaidi ndo ajenda Kubwa Na hata kuna mmoja mhusika ameshajipeleka hapo Brussels. Hapa kwetu kila mtu mwandishi. Kila mtu mwanasiasa. Kila mtu askari. Ndo mana wenzenu wakuu maneno wamewachia nyie Wambea wao kazi kimya kimya. Hata angeenda mngesema neno. So siku ukimpongeza unite ili nijue umeandika kwa nia njema na uchungu.
Mawazo ya hovyo kabisa haya!!! Sasa kama Ufaransa imeumizwa sana na ugaidi si tungetarajia Rais wa nchi hiyo aone suala la kuuawa kwa askari ni jambo la kawaida?! Lakini pamoja na kwamba matukio kama hayo yameshatokea sana tena mengine ni makubwa kuliko hili la sasa lakini bado Rais wa Ufaransa ameona uzito wa hilo "tukio dogo!"

Btw, hii ni mara ya kwanza askari polisi kuuawa kutokea eneo lile lile?!

Ni ujinga ulioota mizizi kuamini suala la uzinduzi wa hostels lilikuwa ni muhimu kuliko suala la kuagwa askari!! Ni mara ngapi hata katika maisha yetu ya kawaida marehemu wakiwa wanacheleweshwa kuzikwa kwa sababu tu key persons hawajawasili! Ni nani key person kwa maaskari wetu kama sio Amiri Jeshi Mkuu?
 
Nchini Ufaransa kumetokea tukio hapo jana la polisi kushambuliwa wakiwa kazini. Tukio hili linafanana sana na lile lililotokea hapa kwetu wiki mbili zilizopita ambapo polisi wetu 8 walishambiliwa na kuuawa wakiwa kazini.

Huko Ufaransa tumeona rais Hollande jinsi anavyoitikia mtikisiko wa tukio hilo japo polisi waliopoteza maisha ni wachache kuliko waliouawa hapa nchini kwetu. Amelihutubia taifa na ameitisha baraza lake la usalama ili kesho likae na kujadili.

Hapa kwetu hatukuona hotuba maalumu ya rais iliyohusu tukio hilo na si rais, si makamu wa rais wala waziri mkuu aliyehudhuria mazishi ya askari 8 waliopoteza maisha.

Watu wengi sana walipiga kelele mitandaoni kufuatia kitendo cha mhe rais kukacha kuhudhuria mazishi ya askari badala yake akaenda kufungua mabweni ya UDSM.

Ninachokifanya mm hapa ni kumkumbusha rais kuwa ajifunze kwa marais wenzake jinsi wanavyo shughulikia masuala yahusuyo usalama.
Ufaransa amekufa Polisi MMOJA TU.
Nchi imemtoa RAIS IKULU ILI AONGEE NA DUNIA
 
Anaitetea ccm isife kabla ya 2020 ndio maana kila siku wako busy kuzindua miradi isiyo na kichwa wala miguu
 
Pole sana. Nakumbuka Mkuu aliandika barua kutoa rambirambi na pamoja na kuonyesha masikitiko aliomba hatua zichukuliwe na akamtuma Waziri wake ahakikishe anatoa Uzito wa juu. Sasa kwako mtoa mada .moja. Ufaransa imeumizwA sana na Ugaidi. Na kama unafuatilia huku Ulaya ugaidi ndo ajenda Kubwa Na hata kuna mmoja mhusika ameshajipeleka hapo Brussels. Hapa kwetu kila mtu mwandishi. Kila mtu mwanasiasa. Kila mtu askari. Ndo mana wenzenu wakuu maneno wamewachia nyie Wambea wao kazi kimya kimya. Hata angeenda mngesema neno. So siku ukimpongeza unite ili nijue umeandika kwa nia njema na uchungu.
Polisi nane hajaenda kwenye ibada ya mazishi????
Polis mmoja mtu KAITA BARAZA LA USALAMA.
Ulaya kuna matukio ya Ugaidi,kweli tunajua.
Ila Tanzania mapolisi nao wanauliwa sana.LABDA WW ULIYE ULAYA HUNA HABARI.
 
Huwez jua anawaza nini. Ni sawa na mume anayekemewa hadharani na mkewe halafu asijibu lolote ukadhani bwege. Kumbe anahasira zake, ataenda kujibia chumbani!! Kesho asb mke hataonekana. Atashinda ndani anauguza maumivu. Majirani wakiulizia wataambiwa amesafiri. Amini, magufuli amechukizwa sana na mauaji Yale. Subiri utasikia.
Tusibiri baada ya 40 ya hao marehemu????
 
Nchini Ufaransa kumetokea tukio hapo jana la polisi kushambuliwa wakiwa kazini. Tukio hili linafanana sana na lile lililotokea hapa kwetu wiki mbili zilizopita ambapo polisi wetu 8 walishambiliwa na kuuawa wakiwa kazini.

Huko Ufaransa tumeona rais Hollande jinsi anavyoitikia mtikisiko wa tukio hilo japo polisi waliopoteza maisha ni wachache kuliko waliouawa hapa nchini kwetu. Amelihutubia taifa na ameitisha baraza lake la usalama ili kesho likae na kujadili.

Hapa kwetu hatukuona hotuba maalumu ya rais iliyohusu tukio hilo na si rais, si makamu wa rais wala waziri mkuu aliyehudhuria mazishi ya askari 8 waliopoteza maisha.

Watu wengi sana walipiga kelele mitandaoni kufuatia kitendo cha mhe rais kukacha kuhudhuria mazishi ya askari badala yake akaenda kufungua mabweni ya UDSM.

Ninachokifanya mm hapa ni kumkumbusha rais kuwa ajifunze kwa marais wenzake jinsi wanavyo shughulikia masuala yahusuyo usalama.
Mkuu hujui Ufaransa hujui usemalo. Ufaransa na ulaya nxima sasa inatikiswa na ugaidi ambao kwa kiasi kikubwa unalelewa na siasa kukumbatia wahamiaji kutoka nchi zenye hulka za ugaidi. Hii ni sababu ya ushindi wa Trump na UK kujitoa EU. Kuna uchaguzi unakuja. Sisi hatuna chama kinachofuga magaidi, ingawa kipo, bado hakijapata madaraka, hapa au nchi jirani. Hatuna sera za uhuru wa kuingiza wahamiaji haramu kama walivyoingizwa EU na Obama. Wote tuna msimamo mmoja kuhusu ugaidi na uhamiaji haramu. Sisi hatuna yote hayo kwa hiyo unalinginisha vitu visivyolinganishika, unalinganisha kuku na tende.
 
Anashauriwa ujinga anakubali tu!! Tatizo lake hajifunzi, hasomi, hafuatilii marais bora waliongozaje!! Ye akishaangalia Shilawadu baasi!

Kwa taarifa yako marais bora waliongoza kama anavyoongoza JPM, au utupe hiyo orodha ya marais bora ili uelezwe historia na matendo yao wakati wa urais wao
 
Mkuu hujui Ufaransa hujui usemalo. Ufaransa na ulaya nxima sasa inatikiswa na ugaidi ambao kwa kiasi kikubwa unalelewa na siasa kukumbatia wahamiaji kutoka nchi zenye hulka za ugaidi. Hii ni sababu ya ushindi wa Trump na UK kujitoa EU. Kuna uchaguzi unakuja. Sisi hatuna chama kinachofuga magaidi, ingawa kipo, bado hakijapata madaraka, hapa au nchi jirani. Hatuna sera za uhuru wa kuingiza wahamiaji haramu kama walivyoingizwa EU na Obama. Wote tuna msimamo mmoja kuhusu ugaidi na uhamiaji haramu. Sisi hatuna yote hayo kwa hiyo unalinginisha vitu visivyolinganishika, unalinganisha kuku na tende.
Mm sijalinganisha Ufaransa na Tanzania ktk masuala ya uhamiaji na ugaidi. Nimelinganisha namna marais hawa wawili walivyoguswa na vifo vya askari wakiwa kazini.
 
Back
Top Bottom