Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,189
- 10,124
Kwa Hiyo Bashite ni Kama Kawawa ?Unajua kwanini Julius Nyerere alianza na Mzee Rasheed’s mfaume Kawawa 1954 na akamaliza nae 1990?
Kila Baya la Awamu ya Kwanza alibebeshwa Kawawa nae hakusema hili sio Langu hadi Nyerere anatoka Ikulu aliandika Kitabu ‘Siasa yetu na Hatma ya Tanzania’
kwenye Kitabu hicho kuna sehemu anasema Mungu kaumba Binadamu wachche sana wa aina ya Kawawa ambao Mara kadhaa walikubali kubeba Lawama za Bosi wake ili Bosi asichafuke
Na Ndio Binadamu Pekee ambae hakukosa kwenye Cabinet ya Nyerere Mara zote na hata ilipobidi Nyerere Atoke Serikalin kwa muda basi Madaraka yote alimuachia Simba huyo wa Vita?
Mambo mengi muda mchache?