Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Nguvu za raisi kuteuwa sidhani kama ni shida sana provided anapokea ushauri wa wataalamu, raisi anatoka kwenye chama cha siasa wanaweza kukaa nae chini wakamchana kama nchi nyingine zinazofanya ata kwa wazungu nchi nyingi sana raisi anateua watu wengi tu lakini wakiboronga na huyo mteuzi mwenyewe awamuachi mambo mengine yanataka utamaduni wa kukosoana kwanza, msimamo mkali wa agenda ya pamoja na mtazamo wa kisiasa katika jamii husika (binafsi sijawahi kuunga mkono madaraka ya raisi Tanzania).Usiku mwema mkuu I may be dealing with division five holder.hivi kitu gani kimempa uwezo magufuli wa kufanya decision ya kumteua mkurungezi wa NSSF? Katiba ni sheria mama ya nchi inayotoa mwongozo wa mambo yote katika nchi including decision making na ilitokea mtu akaamua au kufanya tofauti inatoa solutions namba ya kudeal nae
Hoja hapa ni katiba yote aindakwi kwa principles sawa, ina sehemu zake ndio maana zikaitwa sura/sehemu; na sehemu tata ni bill of rights katika rasimu ya warioba ambazo hazina uhalisia. Nguvu za raisi na madaraka ya raisi ni sehemu nyingine ya mtazamo wa katiba ata huyo warioba akugusa huko kabisa however realistically kuna sehemu nyingi sana ambazo jamii inalalamikia wakati kuna sheria husika au katiba yenyewe inakataza in the first place sasa ata hapo badala ya watu kwenda mahakamani wao wanalalamika tu.
Imenichukua members wa forum ku-post kuwa kuvunja mabondeni sio sahihi na mahakama za Tanzania ziko fair mbona watu awaendi (amini usiamini) kilichofuata wizara kusitisha, kutambua wafanyakazi wa serikari wanamakosa na lazima walipe fidia za wale wenye hati hata kama wametapeliwa na mmbunge wa CDM kufungua kesi. Kwa hivyo kuna sheria nyingi sana nzuri Tanzania tatizo uvivu wetu wa kusoma na kujifunza utakuta watu wanapiga vita star tv wakati jamaa wanavipindi vizuri sana vya sheria na changamoto za jamii tuache kuwa taifa la watu wavivu kufikiri na kupenda dezo tu.