Kumbe tusilaumu rais yoyote wala kumsifu kumbe ni kitabu cha siri kimemuongoza afanye hayo! Kelli dunia ina mambo!Nivyema tukajuwa Rais hafanyi jambo lolote pasipo kuwa na muongozo au watu nyuma yake kumuongozo. Kitabu cha siri ambacho wanao kiona ni wale tu wenye cheo cha Rais wa jamuhuri wa muungano tu ndio muongozo wa kazi zake za urais. Wajinga wachache wasio juwa kuwa Rais anamuongozo ndio wanao tupotosha. Zipo siri nzito ambazo mim na wewe hatuzijuw na nibora tukae kimya maana Rais hajaribu kaz ila anafanya kaz kwa mujibu wa muongozo huo. Ipo kazi lazima ifanyike chini ya Mh Magufuli. Wengi watalia na kupiga kelele ila kaz lazima ifanyike.
Usiamini kila unacho sikia.Hadithi hii inatufundisha nini?
Duh! Hii kali...hukijui na wala hujui yaliyomo!!!! Hayo uliyoeleza kwamba hicho kitabu ndio mwongozo wa raisi umeyajuaje!? Sitaki kuamini kwamba hizi ni ndoto!Sikijuwi wala siyajuwi yaliomo maana sina nafasi yakuyajuwa walakuyaona kama Raia ila Rais wa jamuhuri peke yake.
Miye naona kiliandikwa na Richard Turnbul mwaka 1960....Kikahaririwa na Jamsheed bin Abdallah mwaka 1963...Na labda unadhani Abunuasi alikuwa mwandishi wa hadithi.
....Na huwezi sikia kila unachoamini..Usiamini kila unacho sikia.
Yeye ndie aliekiandika.Wewe kama Rais wa jamuhuri mstaafu ulikiona?..
Nivyema tukajuwa Rais hafanyi jambo lolote pasipo kuwa na muongozo au watu nyuma yake kumuongozo. Kitabu cha siri ambacho wanao kiona ni wale tu wenye cheo cha Rais wa jamuhuri wa muungano tu ndio muongozo wa kazi zake za urais. Wajinga wachache wasio juwa kuwa Rais anamuongozo ndio wanao tupotosha. Zipo siri nzito ambazo mim na wewe hatuzijuw na nibora tukae kimya maana Rais hajaribu kaz ila anafanya kaz kwa mujibu wa muongozo huo. Ipo kazi lazima ifanyike chini ya Mh Magufuli. Wengi watalia na kupiga kelele ila kaz lazima ifanyike.
Nivyema tukajuwa Rais hafanyi jambo lolote pasipo kuwa na muongozo au watu nyuma yake kumuongozo. Kitabu cha siri ambacho wanao kiona ni wale tu wenye cheo cha Rais wa jamuhuri wa muungano tu ndio muongozo wa kazi zake za urais. Wajinga wachache wasio juwa kuwa Rais anamuongozo ndio wanao tupotosha. Zipo siri nzito ambazo mim na wewe hatuzijuw na nibora tukae kimya maana Rais hajaribu kaz ila anafanya kaz kwa mujibu wa muongozo huo. Ipo kazi lazima ifanyike chini ya Mh Magufuli. Wengi watalia na kupiga kelele ila kaz lazima ifanyike.
The thread is an after effect of too much James Bond movies. Dont blame the guy for being artistic and imaginative. Secret Book my black a**.......Mwongozo wa Nchi yeyote Ni KATIBA, Hayo Mengine ya Vitabu ya Matunguri Na Ramli unavijua wewe. In short there is no such thing as a secret book! Au hicho Kitabu ndicho kilichomwambia JK awalaze Wamama chini Mhuhimbili, Aachie Makontena bila Kodi, Alambe Escrow! Ashindane kuipiku record ya Vasco Da Gama, Na Kitabu hicho hicho Kikamwambia JPM, Apige vita mambo hayo. My best you sound soooooo funny! Hizo hadaa za Juma na Roza, na Bulicheka peleka kwa stooges wa Lumumba! Good try though!
Jk alikuwa anatumia kitabu cha bulicheka na JPM anatumie Ngoswe.....Yule aliyepita alikuwa na kitabu cha tofauti?
1. MikwaraTupe hata dibaji ya hicho kitabu
Ni siri ya dhahiri.Kitabu cha siri ambacho habari zake tayari ziko hapa na mleta hoja unajua fika kwamba Mheshimiwa anatekeleza yaliyomo humo ndani na wakati yeye sio miongoni mwa marais wastaaf tayari inatoa sifa ya hicho kitabu kuitwa cha siri.
Maersk ni Avatar tu..Tafuta maana yake COpenhagen Dnmkuu inaonekana umebobea kwenye mambo ya logistics freight shipping na maintainer
Well said, amtafute Pasco kwa ajili ya kumtafsiria ndoto za usiku..Si kila akiota anapost tu bila kutafsiriwaYeye ndie aliekiandika.