Jamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kurugenzi ya habari ya awamu hii iko active sana kuliko awamu iliyopita.
Kila kinachofanywa na rais tunakipata "immediately" kwenye social media/networks zote ikiwemo na JF.
Kaimu mkurugenzi anafanya kazi nzuri sana na pia anaandaa vizuri sana vipindi vya hotuba za rais.
Anatoka press release kwa haraka sana kuliko kipindi kilichopita, kwa sasa shughuli za rais kuzijua haihitaji usikilize radio au uangalie tv, tunaziona WhatsApp, Fb, twitter, Instagram and blog mbalimbali.
Jana Rais kaongea na wakuu wa polisi na mawakili wa serikali taarifa ikatolewa muda huo huo.
Basi nakuomba rais wangu mpendwa mu-idhinishe Gerson Msigwa awe mkurugenzi kamili...kama ni majaribio ashafuzu na amefaulu kwa kiwango cha juu sana.
Naamini huwa unasoma humu rais wangu,ujumbe wangu umekufikia
Taratibu zipi? Au unaamini katika ukiritimba tu?taratibu lazima zifuatwe! kuweni wapole
Msigwa anafanya kazi vizuri sana. Anasitahili kuidhinishwa.Jamaa hana makuu na mchapa kazi kweli, anastahili kuidhinishwa KMRI ya sasa iko vizuri sio sawa na ya awamu za nyuma
NDUGU UNAMWARIBIA MWENZAKO KAMA AMEKUTUMA ANAJIMALIZA JPM.DK AFANYI KAZI NA MTANDAO KAMA MSTAAFU AKIJISIKIA ATAMPA KAMA HIZI AKIZIPATA ATAMTUMBUA MAPEMAJamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kurugenzi ya habari ya awamu hii iko active sana kuliko awamu iliyopita.
Kila kinachofanywa na rais tunakipata "immediately" kwenye social media/networks zote ikiwemo na JF.
Kaimu mkurugenzi anafanya kazi nzuri sana na pia anaandaa vizuri sana vipindi vya hotuba za rais.
Anatoka press release kwa haraka sana kuliko kipindi kilichopita, kwa sasa shughuli za rais kuzijua haihitaji usikilize radio au uangalie tv, tunaziona WhatsApp, Fb, twitter, Instagram and blog mbalimbali.
Jana Rais kaongea na wakuu wa polisi na mawakili wa serikali taarifa ikatolewa muda huo huo.
Basi nakuomba rais wangu mpendwa mu-idhinishe Gerson Msigwa awe mkurugenzi kamili...kama ni majaribio ashafuzu na amefaulu kwa kiwango cha juu sana.
Naamini huwa unasoma humu rais wangu,ujumbe wangu umekufikia
Hana lolote ameshindwa kumshauri jpm kuminya uhuru wa wanachi kusikiliza bunge ndo mnasema apewe ukuu kamili amende huko hana jipya
Kweli kabisa..Yupo vizuri hata UKAWA wanamkubali Gerson Msigwa
Kazi yake sio kumshauri rais, ni kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na shughuli yoyote inayohusu ikulu, yaani taarifa za rais na taarifa za taasisi ya urais, hata kama ni pumba, yeye ni kutoa tu taarifa.Hana lolote ameshindwa kumshauri jpm kuminya uhuru wa wanachi kusikiliza bunge ndo mnasema apewe ukuu kamili amende huko hana jipya
KAKA KAMA KITU HUKIJUI USISEME EMMANUEL BUHOHELA SIYO MTU WA SENGEREMA NA WALA HAWAJAWAI KUKAA NA BABU YAKE RAISI UMENISIKITISHA/UMENIFADHAISHA SANA NA MANENO YAKO KIONGOZI....!!Yupo yule aliyekuwa anatembea na pombe kwenye kampeni,ni wa ITV,mtu wa SENGEREMA walikokuwa wakiishi babu zake na pombe,kijiji kimoja kabisaaa na yuko mjengoni anasoma ABC kabla hajapewa kitengo,msigwa muda si mrefu atatunga usaa,huu ni wakati wa kanda ya ziwa
Wanaosoma HUMU ni hiyo timu unayosema huletaga FASTA "Kila kinachofanywa na Rais".....Jamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.