Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,704
- 9,060
Siasa ni ngumu kwelilweli
Umeandika upuuzi,nani amekwambia ilani inatekelezwa kwenye majukwaa ya siasa?ShameUnataka kumlinganisha na mbowe au lowasa? Huyu ni mkuu wa nchi hapa yuko kazini hata akifanya siasa anatekeleza ilani ya chama chake, sasa mbowe akiitisha mkutano wa hadhara anatekeleza ilani gani wakat ikulu anapaskia kwenye radio na magazetini
Ndo majibu ya maswali ambayo yameulizwa? punguza kujipendekezaWewe porojo za nini si ingia mitaani ufanye siasa.
Wacha kulalamika hovyo.
Kama umeona umeonewa nenda mahakamani.
Uko sahihi kabisa mkuu ukiwazuia kufanya siasa wakati ndo kazi zao unataka wafanye nini? Juzi mbunge wa Karatu ameitwa polisi kuhojiwa kwa sababu amefanya mkutano wa hadhara jimboni kwake kusikiliza kero za wananchi wake bado kuna nyumbu wanasifia huu upuuziAnajidanganya... Yatamtokea puani asubiri mziki wake... Magufuli sio mungu, huwezi kuwafunga midomo watu... Mikutano ya hadhara ni sehemu ya kazi za kila siku za siasa
Watu wakifanya siasa ,aache afanye si cha msingi walipe kodi
Iyo anayoenda kufanya kahama ni ya ndan mkuuIliyokatazwa ni mikutano ya adhara, tena ya uchochezi, hata ccm chama dola hawafanyi mikutano. Mikutano ya ndani haijakatazwa, hata chadema walifanya mikutano minne mfululizo na kutoa matamko yao,
Bungeni walifunga pempers mdomoni, wakamkimbia NS,
MSITUTISHE NA MSIFIKILIE TUNATISHIKA NA MAIGIZO YA CCM,,,,,WATUUE TUFE MAANA HATA YY ATATOKA TU KWENY URAIS NA ATAKUFA,,,,,MNATAKA TUMWONE BINADAMU KAMA MUNGU TUUUUUU KILA WAKATI,,,,Kumbukeni kabla ya yy kuwa rais tulikwepo na ataondoka na kutiuacha.....01/09 kama kawaida ni UKUTAKatika kujibu mapigo ya wenzetu wanaokuja na operation sijui ya nini, Rais kasema yeye hajaribiwi. Na kamwe mtu yoyote asithubutu kumjaribu. Huu ni muda wa kazi, hivyo tuwaache wananchi wachape kazi..
Mytake: Hii safi sana. Kama wapinzani na makundi ya kijamii yalizoea kuifanyia dola majaribio this time hakuna kitu kama hicho.
Ushauri wangu:
Jamani tusomeni alama za nyakati. Uongozi huu hauhitaji siasa zisizo na tija. Huu ni muda wa kazi..
.....Happening Now... Manyoni....
View attachment 372953
Magufuli ni Mwokozi asema mwanasiasa Dovutwa kwa mujibu wa gazeti la uhuru.Haya maneno yana ujumbe MZITO SANA hasa unapolitafakari kwa KINA neno la Mungu na lapendeza sana kutamkwa na mkongwe kama Dovutwa,Haleluya.
hii ni kadri ya katiba au kadri ya Magufuli?
Inabidi ifike wakati tumwogope Mungu
huyu bwana aliapa kuilinda katiba
Ikawaje sasa wale wabunge wa Karatu wakakamatwa ?! na kushtakiwa Arusha ?!Kwa kauli hii ni dhahiri mikutano wala maandamano hayajakatazwa ila tu ifanywe na Mbunge au diwani wa eneo husika, siyo mbunge wa eneo X kufanya mambo hayo katika eneo Y.
Japo nimeelewa hivyo bado sijafahamu mustakbali wa vyama visivyo na mbunge au diwani je wao mikutano yao ya hadhara wataifanyaje?