Rais Magufuli Mbaguzi kazuia semina na mafunzo kwa madiwani manispaa ya Ubungo na kawakatia tiketi ya ndege madiwani wa Kinondoni kwenda Zanzibar

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Meya ya Ubungo Boniface Jacob, amelalamikia kitendo cha kuwakataza Madiwani wa Ubungo kufanya Semina huku wale wa Kinondoni wakipewa Tiketi ya ndege kwenda Zanzibar. Amesema ni kitendo cha Ubaguzi

Boniface Jacob said:
SITAKI KUAMINI kuwa Magufuli Amepiga Marufuku Safari na Semina kwa Madiwani wote Manispaa ya Ubungo lakini Leo ameapandisha Ndege Madiwani Wote Wa Manispaa ya Kinondoni kwenda Zanzibar siku 7 kula pasaka
 
Mh. Meya Boniphace nakushauri iga siasa za Meya wa Arusha Mh. Calist Lazaro.
Siasa za kulialia zimepitwa na wakati, team na viongozi wengine mpige kazi mambo ya kupinga kila kitu yatakugharimu mbele ya wananchi.
Hujatuthibitishia kwa nini mmezuiwa kufanya semina pia hujatuthibitishia kama kweli serikali imetuma watu kula pasaka Zanzibar.
Tunaomba ushahidi kama inawezekana.
 
Back
Top Bottom