MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Baada ya miaka kumi ijayo hatutakua na walimu wala wataalamu wa sayansi kabisa! Huwezi kulinganisha div3 ya PCB na div1.9! Haiwezekani kabisa, elimu tutaizika kaburini tu. Mkuu wa nchi mwenyewe PCM hskupata div 1.Kweli hii nchi ilishalaaniwa, hiv hizo one na two ziko ngapi hapa nchin? fuatilieni takwimu kwanza ndo mlete majibu hapa. Halafu hatuwezi ku control udahili kwa kuangalia uwezo wa bodi ya mikopo nyie wasengerema, yan uache div 3 ambazo zinaweza kupata nafasi chuo sababu unaogopa kuonekana umeshindwa kuwapa mikopo wanafunzi wote, hii akili au tope? kama wanafunz wamefikisha GPA inayotakiwa kwa udahili waingie vyuoni, tunakokwenda tunahitaji wasomi wengi, japokuwa wanaweza wasiwe na weledi sana, lakin mambo ya weledi market yenyewe itabalance. Hii dunia inakoenda regional integration itawaacha watu wetu vibarua tu sababu CCM hamna akili za kuangalia mbele.