Rais Magufuli kwa hali hii, Lowassa 2020 ataingia ikulu kwa mikono safi

Tanzania imejengwa katika misingi ya amani japo, amani hii wakati mwingine haina tofauti sana na maigizo ya kaole lakini waliokutangulia waliweza kuigiza vizuri wakamaliza muda wao.

Ni kweli hata huko nyuma watu walikua wakiuawa kinyama wengine kwa kuchinjwa, wengine kwa kuchomwa moto na wengine kwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha lakini mtanzania alipomtazama kiongozi wake waliona amani maana hata kiongozi akisisimama jukwaani alionekana kukerwa na kuwa kinyume na yanayotokea kwa hiyo mtanzania alipongeza kwa kuwa ndani ya nchi ya amani kwakua.

Swala la kuzuia haki ya vyama vya upinzani kuzungumza na wananchi wao huku kina Mwigulu wakipeta na mikutano ya hadhara kila wanapotaka, tena bila bugudha yoyote na wewe Mh. Rais umekaa kimya! Ni hatari sana, watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 61 hawa japo hujashtuka wanaelewa. Kwa hiyo kwa kuamua kukaa kimya huku wapinzani wakinyimwa haki yao ya msingi unawafanya watanzania wathibishe kile wanachokihisi kuwa wewe ni dikteta.

Mh mama mmoja aligombana ama alipishana kauli na afisa usalama barabarani na mara moja ulijitokeza ukuongea kwenye vyombo vya habari na ukampandisha cheo yule askari japo mkuu wake alisema zipo taratibu kwahiyo hakufanikiwa, lakini unashindwa kusimama ukawaambia Polisi waache dhuluma wanayowafanyia wananchi kuwanyima hali ya kuwasilikiza watu wao waliowachagua kwa halali kabisa! Mh hili ni jipu na usipoangalia linatumbuka 2020.

Ulipozungumza na wazee wa Dar es Salaam ulisema swala la lanzbar hutojihusisha nalo unakaa kimya ila ukaseman walete fyofyoko waone! sasa hii kauli hadi leo watanzania nikiwemo mimi wanajiuliza hii kauli maana yake ninini? maana yake nini......

Mh Watanzania wana maumivu mengi sana lakini wanaogopa kusema ukweli sasa, usiposhtuka 2020 hawataangalia push-ups maana na zenyewe wameanza kuona kwamba labda hazikua na maana nzuri kwao..Utawala bora Mh lazima uruhusu watu kuwasiliana bila kujali itikadi ya vyama vyao

Haya mambo usiyachukulie hasira Mh, Mungu aliyekuumba na pua inayoangalia chini akusaidie uelewe kwamba nchi lazima iongozwe kwa misingi ya demokrasia vinginevyo 2020 utakumbuka huu uzi utakapomuona Lowasa aliyeitwa mfu anayetembea akiingia Magogoni bila kutumia jasho.
Mkuu kwa katiba tuliyo nayo haiwezekani mshindi kutoka nje ya chama tawala, nasema haiwezekani kabsaa!, bara kuna jecha wengi kuliko hata zanzibar. Kuhusu kuminya uhuru simuoni Rais akifanya lolote ukiachilia mbali kuwafunga governor wapinzani wake kisiasa, hivi nani aliye tarajia bunge live kuzuiwa kwa sababu za kipuuuuzi!!! kama zile??, Magufuli niliona anaanza vizuri kwenye ufisadi ila kwa mwendo huu nako naona anashindwa........
 
Vyovyote

Lowasa is not a good candidate kwenye any of the coming general election kwa upinzani
 
Tanzania imejengwa katika misingi ya amani japo, amani hii wakati mwingine haina tofauti sana na maigizo ya kaole lakini waliokutangulia waliweza kuigiza vizuri wakamaliza muda wao.

Ni kweli hata huko nyuma watu walikua wakiuawa kinyama wengine kwa kuchinjwa, wengine kwa kuchomwa moto na wengine kwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha lakini mtanzania alipomtazama kiongozi wake waliona amani maana hata kiongozi akisisimama jukwaani alionekana kukerwa na kuwa kinyume na yanayotokea kwa hiyo mtanzania alipongeza kwa kuwa ndani ya nchi ya amani kwakua.

Swala la kuzuia haki ya vyama vya upinzani kuzungumza na wananchi wao huku kina Mwigulu wakipeta na mikutano ya hadhara kila wanapotaka, tena bila bugudha yoyote na wewe Mh. Rais umekaa kimya! Ni hatari sana, watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 61 hawa japo hujashtuka wanaelewa. Kwa hiyo kwa kuamua kukaa kimya huku wapinzani wakinyimwa haki yao ya msingi unawafanya watanzania wathibishe kile wanachokihisi kuwa wewe ni dikteta.

Mh mama mmoja aligombana ama alipishana kauli na afisa usalama barabarani na mara moja ulijitokeza ukuongea kwenye vyombo vya habari na ukampandisha cheo yule askari japo mkuu wake alisema zipo taratibu kwahiyo hakufanikiwa, lakini unashindwa kusimama ukawaambia Polisi waache dhuluma wanayowafanyia wananchi kuwanyima hali ya kuwasilikiza watu wao waliowachagua kwa halali kabisa! Mh hili ni jipu na usipoangalia linatumbuka 2020.

Ulipozungumza na wazee wa Dar es Salaam ulisema swala la lanzbar hutojihusisha nalo unakaa kimya ila ukaseman walete fyofyoko waone! sasa hii kauli hadi leo watanzania nikiwemo mimi wanajiuliza hii kauli maana yake ninini? maana yake nini......

Mh Watanzania wana maumivu mengi sana lakini wanaogopa kusema ukweli sasa, usiposhtuka 2020 hawataangalia push-ups maana na zenyewe wameanza kuona kwamba labda hazikua na maana nzuri kwao..Utawala bora Mh lazima uruhusu watu kuwasiliana bila kujali itikadi ya vyama vyao

Haya mambo usiyachukulie hasira Mh, Mungu aliyekuumba na pua inayoangalia chini akusaidie uelewe kwamba nchi lazima iongozwe kwa misingi ya demokrasia vinginevyo 2020 utakumbuka huu uzi utakapomuona Lowasa aliyeitwa mfu anayetembea akiingia Magogoni bila kutumia jasho.

Ndiyo maana kamwe sitoamini Upinzani Tanzania na nitakuwa upande wa CCM siku zote, sasa wewe unasema fisadi Lowasa ataingia Ikulu 2020, ni kwa tiketi ya Chama gani? Na Je hicho Chama hakina mchakato wa kuchagua Mgombea? Na kama upo wewe ni nani mpaka uwachagulie Wanachana wa hicho chadema Mgombea? Kwa nini usisema chadema kuingia ikulu 2020 badala yake unatuambia fisadi Lowasa? Akipata dharura je kama kifo, ugonjwa, au chochote kile kwa maana yeye ni binadamu tu kama mimi na wewe?

CCM ina moral authority ya kutawala Tanzania na kamwe isiache, kwa maana Upinzani hauko tayari na wala hawaelewi maana ya demokrasia, hii sijawahi kuisikia popote pale Duniani isipokuwa nchi za kidikteta na kikabila kama Kenya au Uganda!
 
Tanzania imejengwa katika misingi ya amani japo, amani hii wakati mwingine haina tofauti sana na maigizo ya kaole lakini waliokutangulia waliweza kuigiza vizuri wakamaliza muda wao.

Ni kweli hata huko nyuma watu walikua wakiuawa kinyama wengine kwa kuchinjwa, wengine kwa kuchomwa moto na wengine kwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha lakini mtanzania alipomtazama kiongozi wake waliona amani maana hata kiongozi akisisimama jukwaani alionekana kukerwa na kuwa kinyume na yanayotokea kwa hiyo mtanzania alipongeza kwa kuwa ndani ya nchi ya amani kwakua.

Swala la kuzuia haki ya vyama vya upinzani kuzungumza na wananchi wao huku kina Mwigulu wakipeta na mikutano ya hadhara kila wanapotaka, tena bila bugudha yoyote na wewe Mh. Rais umekaa kimya! Ni hatari sana, watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 61 hawa japo hujashtuka wanaelewa. Kwa hiyo kwa kuamua kukaa kimya huku wapinzani wakinyimwa haki yao ya msingi unawafanya watanzania wathibishe kile wanachokihisi kuwa wewe ni dikteta.

Mh mama mmoja aligombana ama alipishana kauli na afisa usalama barabarani na mara moja ulijitokeza ukuongea kwenye vyombo vya habari na ukampandisha cheo yule askari japo mkuu wake alisema zipo taratibu kwahiyo hakufanikiwa, lakini unashindwa kusimama ukawaambia Polisi waache dhuluma wanayowafanyia wananchi kuwanyima hali ya kuwasilikiza watu wao waliowachagua kwa halali kabisa! Mh hili ni jipu na usipoangalia linatumbuka 2020.

Ulipozungumza na wazee wa Dar es Salaam ulisema swala la lanzbar hutojihusisha nalo unakaa kimya ila ukaseman walete fyofyoko waone! sasa hii kauli hadi leo watanzania nikiwemo mimi wanajiuliza hii kauli maana yake ninini? maana yake nini......

Mh Watanzania wana maumivu mengi sana lakini wanaogopa kusema ukweli sasa, usiposhtuka 2020 hawataangalia push-ups maana na zenyewe wameanza kuona kwamba labda hazikua na maana nzuri kwao..Utawala bora Mh lazima uruhusu watu kuwasiliana bila kujali itikadi ya vyama vyao

Haya mambo usiyachukulie hasira Mh, Mungu aliyekuumba na pua inayoangalia chini akusaidie uelewe kwamba nchi lazima iongozwe kwa misingi ya demokrasia vinginevyo 2020 utakumbuka huu uzi utakapomuona Lowasa aliyeitwa mfu anayetembea akiingia Magogoni bila kutumia jasho.

Acha kupotosha na kujifanya una mshauri/ kumtishia Mh Rais. Sasa ni wakati wa kurekebisha Serikali na watu kufanya Kazi kwa bidii ili tujenge mchi yetu. Kampeni zili isha . Wabunge wanatakiwa wafanye Kazi zao za ubunge ndani ya Bunge tena kwa bidii na kwa kufuata kanuni na Miongozo halali ya Bunge na siyo kufanyaa makosa ya makusudi ili tu kuchokoza nguvu za dola wapate nafasi ya kusema wanaonewa . Bunge la Budget Ambalo ni la muhimu sana limaendelea lakini Wabunge wakazunguka ati kufanya mikutano ya kuimarisha chama... Nonsense........
 
Namkumbuka Marehemu Mtikila. Angekuwepo angefungua kesi ya kupinga kuminya demokrasia. Rip Mtikila
 
Mbona watu wameshamsahau huyo mtu wako labda wewe na familia yako ndio mtamchagua!!
 
Jamani, kuna haja ya kujitathmini kila mmoja wetu, unapoanzisha uzi ama unapochangia uzi, una uelewa kiasi gani ktk jambo ulilolianzishia uzi ama unalochangia!

Uhuru usiokuwa na mipaka hata katika kuanzisha uzi ama kuchangia uzi ni tatizo kubwa Tanzania! Mtu kabla hujaanzisha uzi au kabla hujachangia uzi kwanza jitathmini juu ya IQ yako!
Wewe umetathmini IQ yako?
 
Umeandika mada yako kwa amani bila kubugudhiwa kadri ulivyotaka lakini bado unasema democracy inabinywa ,,, usingizi wako ni mzito sana ndugu.
 
Tanzania imejengwa katika misingi ya amani japo, amani hii wakati mwingine haina tofauti sana na maigizo ya kaole lakini waliokutangulia waliweza kuigiza vizuri wakamaliza muda wao.

Ni kweli hata huko nyuma watu walikua wakiuawa kinyama wengine kwa kuchinjwa, wengine kwa kuchomwa moto na wengine kwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha lakini mtanzania alipomtazama kiongozi wake waliona amani maana hata kiongozi akisisimama jukwaani alionekana kukerwa na kuwa kinyume na yanayotokea kwa hiyo mtanzania alipongeza kwa kuwa ndani ya nchi ya amani kwakua.

Swala la kuzuia haki ya vyama vya upinzani kuzungumza na wananchi wao huku kina Mwigulu wakipeta na mikutano ya hadhara kila wanapotaka, tena bila bugudha yoyote na wewe Mh. Rais umekaa kimya! Ni hatari sana, watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 61 hawa japo hujashtuka wanaelewa. Kwa hiyo kwa kuamua kukaa kimya huku wapinzani wakinyimwa haki yao ya msingi unawafanya watanzania wathibishe kile wanachokihisi kuwa wewe ni dikteta.

Mh mama mmoja aligombana ama alipishana kauli na afisa usalama barabarani na mara moja ulijitokeza ukuongea kwenye vyombo vya habari na ukampandisha cheo yule askari japo mkuu wake alisema zipo taratibu kwahiyo hakufanikiwa, lakini unashindwa kusimama ukawaambia Polisi waache dhuluma wanayowafanyia wananchi kuwanyima hali ya kuwasilikiza watu wao waliowachagua kwa halali kabisa! Mh hili ni jipu na usipoangalia linatumbuka 2020.

Ulipozungumza na wazee wa Dar es Salaam ulisema swala la lanzbar hutojihusisha nalo unakaa kimya ila ukaseman walete fyofyoko waone! sasa hii kauli hadi leo watanzania nikiwemo mimi wanajiuliza hii kauli maana yake ninini? maana yake nini......

Mh Watanzania wana maumivu mengi sana lakini wanaogopa kusema ukweli sasa, usiposhtuka 2020 hawataangalia push-ups maana na zenyewe wameanza kuona kwamba labda hazikua na maana nzuri kwao..Utawala bora Mh lazima uruhusu watu kuwasiliana bila kujali itikadi ya vyama vyao

Haya mambo usiyachukulie hasira Mh, Mungu aliyekuumba na pua inayoangalia chini akusaidie uelewe kwamba nchi lazima iongozwe kwa misingi ya demokrasia vinginevyo 2020 utakumbuka huu uzi utakapomuona Lowasa aliyeitwa mfu anayetembea akiingia Magogoni bila kutumia jasho.
Mkuu likizo imeisha, twende kazini
 
KUNASHIDA GANI LOWASA KUINGIA IKULU???
KWANI YEYE SI MTU???
Magufuli hafai. Lowassa hafai. Wote washapata chance na wameshindwa kuonyesha muelekeo.

Kama nchi hii inataka muanguko wa uchumi imchague Magufuli 2020.

Huyo Lowassa ndiyo kabisaa. Alishakataliwa na CCM akaenda upinzani akagombea urais akakataliwa na Watanzania. Ya nini kumrudia kama hamna wengine?
 
Tanzania imejengwa katika misingi ya amani japo, amani hii wakati mwingine haina tofauti sana na maigizo ya kaole lakini waliokutangulia waliweza kuigiza vizuri wakamaliza muda wao.

Ni kweli hata huko nyuma watu walikua wakiuawa kinyama wengine kwa kuchinjwa, wengine kwa kuchomwa moto na wengine kwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha lakini mtanzania alipomtazama kiongozi wake waliona amani maana hata kiongozi akisisimama jukwaani alionekana kukerwa na kuwa kinyume na yanayotokea kwa hiyo mtanzania alipongeza kwa kuwa ndani ya nchi ya amani kwakua.

Swala la kuzuia haki ya vyama vya upinzani kuzungumza na wananchi wao huku kina Mwigulu wakipeta na mikutano ya hadhara kila wanapotaka, tena bila bugudha yoyote na wewe Mh. Rais umekaa kimya! Ni hatari sana, watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 61 hawa japo hujashtuka wanaelewa. Kwa hiyo kwa kuamua kukaa kimya huku wapinzani wakinyimwa haki yao ya msingi unawafanya watanzania wathibishe kile wanachokihisi kuwa wewe ni dikteta.

Mh mama mmoja aligombana ama alipishana kauli na afisa usalama barabarani na mara moja ulijitokeza ukuongea kwenye vyombo vya habari na ukampandisha cheo yule askari japo mkuu wake alisema zipo taratibu kwahiyo hakufanikiwa, lakini unashindwa kusimama ukawaambia Polisi waache dhuluma wanayowafanyia wananchi kuwanyima hali ya kuwasilikiza watu wao waliowachagua kwa halali kabisa! Mh hili ni jipu na usipoangalia linatumbuka 2020.

Ulipozungumza na wazee wa Dar es Salaam ulisema swala la lanzbar hutojihusisha nalo unakaa kimya ila ukaseman walete fyofyoko waone! sasa hii kauli hadi leo watanzania nikiwemo mimi wanajiuliza hii kauli maana yake ninini? maana yake nini......

Mh Watanzania wana maumivu mengi sana lakini wanaogopa kusema ukweli sasa, usiposhtuka 2020 hawataangalia push-ups maana na zenyewe wameanza kuona kwamba labda hazikua na maana nzuri kwao..Utawala bora Mh lazima uruhusu watu kuwasiliana bila kujali itikadi ya vyama vyao

Haya mambo usiyachukulie hasira Mh, Mungu aliyekuumba na pua inayoangalia chini akusaidie uelewe kwamba nchi lazima iongozwe kwa misingi ya demokrasia vinginevyo 2020 utakumbuka huu uzi utakapomuona Lowasa aliyeitwa mfu anayetembea akiingia Magogoni bila kutumia jasho.
Kamwe huyo mwizi/fisadi mlafi hatogusa vyumba vya ikulu!
Na hapa naona ni kikundi cha bavicha mnao ota na kuamka pamoja!
 
Huyo unayemdharau wewe pamoja na kuibiwa kura, ulaghai na mizengwe Watanzania zaidi ya milioni 6 (ambao kura zao hazikuibiwa) walimchagua.
Ni mtu mjinga tuu ambaye asilione hilo. Kwamb mtu aliyesaidiwa na dola, NEC na mizengwe yote alipata kura milioni 8 (za wizi inclusive) yaani tofauti ya kura milioni mbili.
Wewe wa mitandaoni waweza lidharau lakini walio kwenye system wameliona ndio maana mikakati ya kuzuia bunge live na mikutano yote hiyo ni hofu ya matokeo hayo
 
Back
Top Bottom