Hata mimi NakojoaaNakuunga mkojo mkuu!!
utaratibu wa Magufuli ni mbaya sana, ila mimi napenda maovu au mambo mabaya yawe mengii ili 2020 kazi iwe nyepesi.Kauli ya mkuu huwa ni sheria
Ukiwa mtumishi utaniekewa
Dogo, kabla ya mfumo wa udahili wa TCU online kulikua na udahili kupitia vyuoni,na baadhi ya vyuo vilikua havikudahili hadi ufanyr mtihani wao kama chuo, vingine havikua na huo mfumo.Na elim ndo hyo hyo.Mfumo wa TCU online ndo uloleta VILADHA ambao wamenyofolewa baadhi ya vyuo.Na mfumo wa TCU baadhi ya vyuo havikuupenda like UDSM so ndo wangefanyaje wakaukubali.MUM waliukataa na hawajawah kuutumia.Habari zenu wanajukwaa.
Hili andiko ilibidi nilipeleke jukwaa la elimu ila ni vyema lijadiliwe hapa kwa kuwa huyu anayeivuruga elimu ni mwana siasa.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu niliyeadiliwa kwa mfumo TCU online.
Juzi baada ya jpm kutoa kauli yake juu ya tcu kuwapangia vyuo wanafunzi wasio vitaka. Ila ukweli ni kwamba tcu haiwezi kumpangia mwanafunzi chuo ambacho hakuchagua na kikubwa zaidi inamsaidia mwafunzi aliyekosa ushindani kwa vyuo ulivyovichagua. Hili linaeleweka na waliodahiliwa kwa mfumo huu watanisaidia kuongezea hapa.
Sasa baada ya kauli ya rais wakati akifungua mabweni pale udsm. Tcu wameamua isiwe shida kila chuo kipokee maombi na kupeleka tcu baadae. Kwa jicho la haraka ni kwamba wanafunzi wengi watakosa vyuo na udahili huu utakuwa mgumu sana.mfano leo chuoni kwetu wametoa tangazo la kuanza kupokea maombi na ada ya maombi ni elfu 50.
Ina maana kama unataka kuomba vyuo zaidi ya kimoja ili kujiweka kwenye mazingira ya kutokosa chuo itabidi ulipie fomu ya kila chuo.. Wakati tcu online tulikuw tunalipia elfu 50 na kuomba vyuo vitano.
Sasa ili uombe vyuo vitano itabidi utumie 250000 hapo bado huna uhakika wa kupata nafasi kulingana na ushindani wakati tcu ulikuwa unalipia mara moja elfu 50.
Mapungufu ya mfumo huu ni mengi na hapa vyuo lazima vifanye udanganyifu na kuwadahili wanafunzi wasio na sifa. Yale ya miaka ya nyuma yanajirudi.
Serikali mjirudi na tcu waendelee kufanya udahili huu.. Na mapungufu yatakayojitokeza muwahukumu hawa tcu.
Habari zenu wanajukwaa.

MKuu fikiria umepata division three ili ujiweke kwenye mazingira ya ushindani inabidi angalau uombe vyuo vingine kidogo!Dogo, kabla ya mfumo wa udahili wa TCU online kulikua na udahili kupitia vyuoni,na baadhi ya vyuo vilikua havikudahili hadi ufanyr mtihani wao kama chuo, vingine havikua na huo mfumo.Na elim ndo hyo hyo.Mfumo wa TCU online ndo uloleta VILADHA ambao wamenyofolewa baadhi ya vyuo.Na mfumo wa TCU baadhi ya vyuo havikuupenda like UDSM so ndo wangefanyaje wakaukubali.MUM waliukataa na hawajawah kuutumia.
Labda kwa usomi wako njoo na takwimu hapa kabla ya TCU online elim ilikuwaje?Ilipokuja TCU online ikawaje?
Kisha ndo uje na hitimisho.
Halafu kuhusu ada ya maombi mbona ilikuwepo hata siku za nyuma huko?
Mfano hata kwa level ya Masters ada ya maombi hutozwa kwa kila kozi unayoomba kwa chuo husika.Kama unaomba kozi tatu na ada ya maombi ni 20,000/- bas itakutoka 60,000/-.
Tatizo hayo mambo yalikuwepo ww ukiwa bado unasoma msingi, hata TCU hukuwa unaijua na nenda kasome kazi za TCU,kazi za TCU ni kusimamia vyuo vikuu kwa mujibu wa sheria za nchi,kudahili ni kazi ya CHUO,
TCU walipora majukumu ya chuo
Nimependa mchango wako, nadhani serikali ya magufuli ni sikivu italifanyia kaziPamoja na Mapungufu yote hayo, ni njia nzuri zaidi kwani humpa mwanafunzi wigo mpana wa kuchagua Chuo cha hitajio lake. Hutumika sana nchi za Wenzetu huko Ughaibuni.
Ili kupunguza Swala la gharama zisizo na msingi, Nashauri yafuatayo yafanyike.
Moja, gharama za fomu za kuomba Udahili ziwe bure kabisa kwa kila chuo. Hii itasaidia wanafunzi kuepukana na gharama nyingi za kuomba udahili katika vyuo vingi. Badala yake, ada ya form Tsh 50,000 ilipwe na mwanafunzi ambaye amedahiliwa na kufanikiwa kusajiliwa katika chuo tajwa. Fedha hii ilipwe pindi wanafunzi waliodahiliwa kufika Chuoni wanapowasili kwa ajili ya Usajili.
Hii ni nzuri kwani itaepusha gharama zisizo na msingi kwa wanafunzi na walezi wao. Pia, vyuo vingi vinaweza kupokea fedha nyingi kwa mgongo wa fomu ya Udahili ilihali haina uwezo wa kuwadahili wanafunzi wote hao.
Pili, kila chuo kiwe na system yake ya Udahili online. Mfano, UDOM walitengeneza system ya kudahili mwaka jana. Vyuo vyote vitengeneze website ambayo itaweza kupokea taarifa pamoja na nyaraka mbalimbali za wanafunzi wanaoomba Udahili. Hii itasaidia kupunguza gharama za nauli pamoja na matumizi mengine kwa wanafunzi. Hii itamuwia ugumu sana Mwanafunzi kutoka Kigoma mwenye nia ya kusoma vyuo vya Dar es Salaam kutoka huko mpaka huku kwa ajili ya kuomba usahili. Gharama za usafiri pamoja na malazi ni kubwa sana. Ingelikuwa rahisi kama kila chuo kitakuwa na System yake.
Nawasilisha.
Shida iko hapa tatizo wanafunzi wengi wana amini akiwa n div one lazima aende udsm.. Sasa udsm itaweza kupokea wanafunzi wote wenye div 1. Hivyo hivyo muhimbili nafasi ni chache sana hawawezi kudahili wanafunzi wote waliofaulu vizuri... Mfano mwaka jana wanafunzi waliofaulu vizur na kuwa na sifa za kusoma udaktari walikuwa elfu 10 lakini nafasi zilizokuwepo kwenye vyuo vya serikali ni elfu 25 tu. Sasa hapa ukipangiwa kampala utalalamika?Ni mtizamo kwako tu. Waulize walipelekwa St. Joseph Songea kama waliomba na nini kimewapata.
Kuna wanafunzi walikuwa na ufaulu mzuri kabisa wakatupwa kusikojilikana kisa TCU.
Asikudanganye MTU wengi waliopelekwa st Joseph walishindwa competition kwenye vyuo vya serikali kama udsm etc!Ni mtizamo kwako tu. Waulize walipelekwa St. Joseph Songea kama waliomba na nini kimewapata.
Kuna wanafunzi walikuwa na ufaulu mzuri kabisa wakatupwa kusikojilikana kisa TCU.
Uzuri wa magu akisema anatulia, usimalize wino mkuu! TCU hii hii ambayo unageuza karakana kuwa chuo na wanakujazia wanafunzi idadi kubwa kuliko chuo kinachomeet standardsDogo, kabla ya mfumo wa udahili wa TCU online kulikua na udahili kupitia vyuoni,na baadhi ya vyuo vilikua havikudahili hadi ufanyr mtihani wao kama chuo, vingine havikua na huo mfumo.Na elim ndo hyo hyo.Mfumo wa TCU online ndo uloleta VILADHA ambao wamenyofolewa baadhi ya vyuo.Na mfumo wa TCU baadhi ya vyuo havikuupenda like UDSM so ndo wangefanyaje wakaukubali.MUM waliukataa na hawajawah kuutumia.
Labda kwa usomi wako njoo na takwimu hapa kabla ya TCU online elim ilikuwaje?Ilipokuja TCU online ikawaje?
Kisha ndo uje na hitimisho.
Halafu kuhusu ada ya maombi mbona ilikuwepo hata siku za nyuma huko?
Mfano hata kwa level ya Masters ada ya maombi hutozwa kwa kila kozi unayoomba kwa chuo husika.Kama unaomba kozi tatu na ada ya maombi ni 20,000/- bas itakutoka 60,000/-.
Tatizo hayo mambo yalikuwepo ww ukiwa bado unasoma msingi, hata TCU hukuwa unaijua na nenda kasome kazi za TCU,kazi za TCU ni kusimamia vyuo vikuu kwa mujibu wa sheria za nchi,kudahili ni kazi ya CHUO,
TCU walipora majukumu ya chuo
Mdau kusoma ni gharama,acha kulalamika sana,umelipa ada shilingi ngapi kwa miaka mingapi uache kulipia 200,000/- kwa application ya kusoma?MKuu fikiria umepata division three ili ujiweke kwenye mazingira ya ushindani inabidi angalau uombe vyuo vingine kidogo!
Sasa fikiria walewale masikini huko vijijini ambao hata ile elfu 50 tu ulikua mtiti!
Imagine sasa lako na ushehe huko bado loan board!!
Ni Suala la muda tu wakupiga kelele kama anaumia atapatikana tu