Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 878
- 489
Hata kama ni mimi ningefanya hayo ya Rais wenu. Kufikiria ni bora kuliko kuwaza kuna watu Wana akili fupi kama konokono. Hayo mambo mnavyofanya sasa Japan na Malaysia wamefanya miaka 50 iliyopita na tulikuwa wote. Think global not local