Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 682
UNGETOA USHAURI WAKO WA NINI KIFANYIKE?MFANO AWE ANATOZA KODI KWA MDA FULANI NA MUDA MWINGINE AACHE?AU ATOE PESA NYINGI KWA VIONGOZI KUSAFIRI KULIKO KUWEKEZA KWENYE MAENDELEO KAMA KUWAPA MIKOPO WANAFUNZI KWA WAKATI?TUNATAKA MIFANO YA AINA HII NDO MTU ANAWEZA KUELEWA
Uko sahihi kabisa mkuu. Watu wanajua kulalamika na kutoa negatives tu bila kutoa maoni mbadala. Sasa mtu kama huyo ataendeshaje biashara au kampuni wakati akipata kimsukosuko tu kidogo ananza kulalamika.