Kama ya hovyo hovyo kwa nini anawashwa kuipitia?
Rais kuna kitu kimoja anakisahau nacho ni kuwa haya magazeti anayoyashutumu sio magazeti yenye mjomba kama Daily na Sunday News pamoja na Mzalendo ambayo husaidiwa na ruzuku toka serikalini!! Magazeti yasiyokuwa ya serikali ni lazima yahakikishe kuwa yanauzika na ili yauzike ni lazima yaweke vichwa vya habari vitakavyowavutia wasomaji ili wayanunue ili waweze kuwa na mtaji wa kuyachapisha!