Rais Magufuli awashangaza wakazi wa Tinde

Umeupa dhamani,Udhaifu wa mtu lakini umeshindwa.Hizi Pro zilimshinda,Nape mkaamua kumweka Pole.Ila ndio atafeli labisa.Watz wa leo sio wale tena..Kajipange upya bro.
 
Ndg umenikumbusha style moja nzuri aliyokus anatumia dikiteta IDD Amin wa Uganda kuwazuga waganda.
Alipokua anasafiri akifika sehemu na kukuta vikundi vya ngoma basi alikua anashiriki kucheza na kupiga ngoma na waganda WENGI walikua wanashangilia kwa kumuona ni mtu wa watu lkn ikifika usiku vijana wao wanaanza kuuwawa na kukatwa kwa makosa mbalimbali
 
Jpm kwa kubana matumizi yuko vzr sana.

Jpm kwa kudhibiti rushwa na ufisadi yuko vzri sana.

Jpm kwa kujenga nidhamu ktk utumishi wa umma yuko vzr sana.

Jpm kwa kuwajali wanyonge yuko vzr sana.

KASORO KUBWA ya Jpm ni kuminya demokrasia na uhuru wa kutoa maoni.
Mkuu;
Mbona umeishatoa maoni yako? Au unataka maoni gani zaidi ya haya maoni uliyoyatoa?
 
wawepo wanini wakati mzee alikuwa anenda zake likizo, alikuwepo RPC wa Tabora na Shinyanga tena wakiwa na matrafik wa kusimamisha magari na kuongoza msafara tu. Kweli Mzee anaishi maisha simple sana.
Wewe ni mwongo tena mkubwa, kiusalama tu gari ni zaidi ya 4 bado Rpc mkoa aliopitia, bado sweeper, hapa hatujamuongelea RC na dc!!!
Tatizo huwa mnadhani wote humu ni mazuzu!!!!
 
Ichi nacho ni kichekesho cha kufungia Mwaka..alafi ni watu wazima nyie mnajali kwenye basi msafara wa mtu
 
Jamaa aliwaambia wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya asiwaone barabarani... anataka kumuona Rpc peke yake kwenye msafara....maafsa wa polisi walikuwepo bt ilikuwa ni kwa utashi wa rpc... Afuu jamaa alipofika nzega akagundua njia nzima wapo askar mpaka mwanza akabadilisha barabara na kupitia njia ya kahama ushirombo mpaka geita..hayo maamuzi yalifanyika baada ya kutoka nzega.. yaani hakuta mambo meeengiiii kama bwana yuleeee....
Aiser
 
wawepo wanini wakati mzee alikuwa anenda zake likizo, alikuwepo RPC wa Tabora na Shinyanga tena wakiwa na matrafik wa kusimamisha magari na kuongoza msafara tu. Kweli Mzee anaishi maisha simple sana.
Picha tafadhali
 
Pole sana, hadithi yako haina mvuto. Wewe unadhani gari zingekata ile kona ya kwenda Kahama katika spidi ya 160? Mahaba ya aina hiyo ni hatari sana na kuyaonyesha hadharani ni aibu.

Hivi lazima uchangie?wakati mwengine unabowa
 
Ndg umenikumbusha style moja nzuri aliyokus anatumia dikiteta IDD Amin wa Uganda kuwazuga waganda.
Alipokua anasafiri akifika sehemu na kukuta vikundi vya ngoma basi alikua anashiriki kucheza na kupiga ngoma na waganda WENGI walikua wanashangilia kwa kumuona ni mtu wa watu lkn ikifika usiku vijana wao wanaanza kuuwawa na kukatwa kwa makosa mbalimbali
 
Sasa Tinde si ni shinyanga? unategemea nini toka kwa hao jamaa wanaopenda vitu vya kung'aang'aa...?
 
Wewe ni mwongo tena mkubwa, kiusalama tu gari ni zaidi ya 4 bado Rpc mkoa aliopitia, bado sweeper, hapa hatujamuongelea RC na dc!!!
Tatizo huwa mnadhani wote humu ni mazuzu!!!!
sasa uongo wangu ukoje? mie niliona gari mbili zenye nembo ya bibi na bwana, gari mbili aina ya bmw zenye nembo ya E1 na E2, gari moja lilikuwa na spika juu na gari ya polisi nyeusi yenye kimulimuli sasa kama zilikuwa zaidi tuambie wewe, hizo gari za RC na DC tasaf sikuziona.
 
Ichi nacho ni kichekesho cha kufungia Mwaka..alafi ni watu wazima nyie mnajali kwenye basi msafara wa mtu
we acha tu zogo lililokuwa mle kwenye bus halikuwa la polepole jamaa alikuwa anashushuliwa utafikiri kaingilia ngoma ya kutoa mwali, kila mtu alisema yake ili mradi mtu atoe kichambo.
 
Magari 6 ina maana mkuu wa mkoa wa Tabora na mkuu wa wilaya ya Nzega na watumishi wengine hawakuwepo? Mkuu wa mkoa wa shinyanga na mkuu wa wilaya pia hakuwepo? Maafisa police nao hawakuwepo? ccm bana
Wawepo kufanya nini na ili iweje. Wawepo kwani wao ndio wapo kwenye ziara? Upuuzi huo JPM hautaki
 
Back
Top Bottom