comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Duh kumbe ukipigwa na mtani wa rais unapata udc!
Nenda na wewe ukapigwe
Duh kumbe ukipigwa na mtani wa rais unapata udc!
Hatari sana hii. Wataandamana.Unaguna nini? kigeu geu cha hawa kimekuchefua?
![]()
Sahihisho, Rais anawaapisha wakuu wa Mikoa tu na Wakuu wa Wilaya wataapishwa na wakuu wao wa Mikoa
Kipenzi chako (labda na familia yako?????, acha sweeping statements!Saafi sana Rais kipenzi cha Watanzania.
Leo Tarehe 29 Rais Magufuli anawapisha wakuu wa mikoa na wilaya asubuhi hii live from Azam two na TBC1.
Rais Magufuli: Ningeweza nikataja majina yote mliopo hapa mpaka yule aliyepigwa fimbo na mtani wangu, karibu kila jina nalifahamu na sifa yake.
Binamu utani mbaya huo!Ivi faiza foxy kapewa ukuu wa wilaya gani vile maana niliona jina lake kwenye list
Unaguna nini? kigeu geu cha hawa kimekuchefua?
![]()
]
Rais Magufuli:[/B] Nyinyi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya mna mamlaka hata ya kuweka watu mahabusu, ila msiende kuonea watu.
.
MKUU UTAKOSANA NA WATU,MM KILA NIKICHANGIA NIKIWAKOSOA TU NAMBIWA NATAKA UKUU WA MKOA YETU MACHO DR SLAA KAIBUKA TENA ANASEMA MBINU YA VYAMA VYA UPINZANI YA KUKIMBIA BUNGE NA KUSUSIA VIKAO VYA BUNGE HAITAVISAIDIA KAMA HAVIWEZI KUIBUA HOJA NZITO.NAPITA TU NITAREJEA BAADAYEUnaguna nini? kigeu geu cha hawa kimekuchefua?
![]()
Nakuona pale mbele tehteh....Kweli kabisa Mkuu
Leo Tarehe 29 Rais Magufuli anawapisha wakuu wa mikoa na wilaya asubuhi hii live from Azam two na TBC1.
Rais Magufuli: Gondwe ninajua unatangaza,sasa utakwenda kutangaza maendeleo unakokwenda,ufanye kama unatangaza tangaza tu.
Rais Magufuli: Mchakato wa kuwapata Ma-DC haukuwa rahisi, ilibidi tutizame historia ya kila mmoja wao.
Rais Magufuli: Kuna mabadiliko madogo tuliyoyafanya kutokana na jina lilikosewa, kwa hiyo aliyestahili tumeshamuweka.
Rais Magufuli: Ningeweza nikataja majina yote mliopo hapa mpaka yule aliyepigwa fimbo na mtani wangu, karibu kila jina nalifahamu na sifa yake.
Rais Magufuli: Mna mamlaka makubwa ya kumuweka mtu Mahabusu ila msiende tu kuonea watu.
Rais Magufuli: Mnaweza kufikiri tumewachagua sisi lakini inawezekana Mungu ametutumia sisi kuwachagua ninyi.
Rais Magufuli: Nilikuwa namuona DC wa Iringa anabeba watoto wakamsema sana, na mimi nikasema abaki hapa hapa
Rais Magufuli: Nilitegemea sana baada ya kuwateua, nilitegemea labda mngekuja robo tu, ninawashukuru sana kwa kuja.
Rais Magufuli: Watanzania wengi tumezoea kulalamika, tunapenda tu kupewa, hatutaki kufanya kazi.
Rais Magufuli: Ni matumaini yangu hamtaniangusha, hata sura zenu zinaonyesha ni wachapa kazi, nendeni mkachape kazi.
Rais Magufuli: Nyinyi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya mna mamlaka hata ya kuweka watu mahabusu, ila msiende kuonea watu.
Rais Magufuli: Mkasimamie yale tuliyowaahidi sisi wana CCM, mkayatekeleze kwa nguvu zote
Rais Magufuli: Watanzania wengi wana changamoto nyingi, nina imani hamtaiangusha serikali hii.
Rais Magufuli: Nataka niseme ukweli, wale ma-DC tuliowaacha hawakufikia vigezo
Mchakato wa kuwapata ma-DC ulikuwa mgumu, ilibidi tuangalie historia ya kila mmoja, tuliangalia mambo mengi sana.
Rais Magufuli anazungumza kwenye sherehe za kuwaapisha kiapo cha uadilifu wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wapya.
Mahakama ya Mafisadi inakuja, hapo tutajua nani ni fisadi na nani siyo fisadi ....... ni swala la muda tu!!Unaguna nini? kigeu geu cha hawa kimekuchefua?
![]()