Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

Hapo namuunga mkono mh. Raisi, chapa kazi JPM wananchi tunakuunga mkono katika hili la wakwepa kodi na wezi wa madini yetu, vyeti vya bashite na tuhuma zingine zinazomkabili bashite zisubiri bunge kwanza
 
Hivi huko vyuoni wadogo zetu watafundishwa na nani ...nahisi kama vile amebaki Dr. Bana pekee!
Dr Bana hana shida, ni Mshauri wa CCM. Hawa ni wanasayansi na wachumi, Dr Bana ni ngwini haswaa hata H2O haikukumbuki labda kale ka Bunsen Burner!!!!
 
Rais Dkt John Pombe Magufuli Ameteuwa Wajumbe Wa Kamati Ya Pili Itakayofanya Uchunguzi Wa Madini Yaliyomo Kwenye Mchanga
[HASHTAG]#HapakaziTu[/HASHTAG]

View attachment 493580
_20170410_120300.JPG

 
Rais Dkt John Pombe Magufuli Ameteuwa Wajumbe Wa Kamati Ya Pili Itakayofanya Uchunguzi Wa Madini Yaliyomo Kwenye Mchanga
[HASHTAG]#HapakaziTu[/HASHTAG]

View attachment 493580
Ile ya mwanzo ishamaliza kazi??hii pili kazi yake itakua nini??nadhani anataka atokee kwenye front page maana sielewi mantiki ya kamati ya mwanzo na hii ya pili nayo ndio upupu mtupu!Yaani ningemuona rais kichwa sana kama angetafuta indipendent company kufanya due deligency lakini sio kuteua teua mikamati ambayo kazi yake hata haina mantiki na kufuja pesa za wavuja jasho!
 
mkuu hii ni muhimu sio kwako tu bali hadi kwa watukuu wako.
Kukwepa kuruhusu kujua yanayoendelea kwenye madini ni kuendelea kutunza tatizo na malalamiko ambayo wenda majibu yake yangetafutwa rasmi 1998,2001 au 2009 leo tungekuwa tunafanya kazi nyingine za maendeleo.
Rais yuko sahihi kuwasiliana na wananchi wake kila anapoona inafaa.
_20170410_120300.JPG
 
Ile list ya kuteua naona imeisha, sasa anaunda kamati juu ya kamati. Hatuna serikali, tuna mdoli wa serikali.
 
Wawekezaji wa madini muna haki ya kutuibia makinikia by not to that extent. I wish I could be CDF!:(
:(:D:D
 
Rais analofanya ni jema ila angefanya vema zaidi akiunda timu ya wataalam kupitia mikataba yote ya madini na kushauri namna ya kuirekebisha ili sekta ya madini ilete tija kwa taifa
 
Back
Top Bottom