MOSintel Inc
JF-Expert Member
- Mar 24, 2016
- 817
- 589
Hongera Uncle John
Be blessed.
Be blessed.
Mimi sina tatizo na Mh Raisi kuchangia fedha kama wachangiaji wengine lakini namtaka Raisi afikirie nje ya Box la Clouds 360 na Msigwa peke yake, Nataka ajue kuwa wapo wengine ambao wanamatatizo ya kama ya Msigwa na hawajapata fulsa ya kutangazwa na hivyo ndoto zao pia zimezama. Vipindi kama hivi vinatakiwa vimsadie Raisi na Serikali kiupeo waweze kujenga mfumo wa kitaasisi ili kuwatambua na kuwasadia wengine wenye matatizo kama hayo.
Acha nuksi braza....wacha ajinome kwa publicities....Rais wa nchi hapaswi kufanya mambo ya namna hiyo. It is too low of him. Watu wenye mstatizo ni wengi. Atawassidia wangapi? Rais akiendeles na hii tabia ya kusaidia individuals pesa itakuja kumcost. Kuna vitengo serikalini vinahusika na msmbo hayo: wixara ya Afya, ustawi wa jamii, n.k . Angeweza tu kuwapa amri wsshughulikie hilo tatizo sio kutoa pesa mfukoni.
Nakushauri ujifunze kutafakari kabla ya kundadia hoja bila kujua mantiki ya hoja iliyotolewa.Wewe mbona nuksi braza kaka?
......publicity kwanza, hayo mengine baadaye......mfumo wa kitaasisi wa nini kama taifa lina jembe a.k.a bulldozer? Bulldozer hilo ndilo mfumo wenyewe, ebo!
Haha. Halaf kuns watu wanasifia wsnadhani ni jambo jema sana! Mh anahitaji semina elekezi!Acha nuksi braza....wacha ajinome kwa publicities....
Nakushauri ujifunze kusoma between the lines..Nakushauri ujifunze kutafakari kabla ya kundadia hoja bila kujua mantiki ya hoja iliyotolewa.
Ongea kama mtu mwenye utu, usiongee kama vile akili zako umempa mtu akushikie halafu wewe umebaki na ubongo usio na uzito wowote ule. Unajua kwamba kuna wizara maalum ya walemavu?. Jitahidi uwe na utu, na unaweza kuonekana kupitia maandishi yako.Nchi hii ina vipofu wengi sijui atawapa wote?milioni kumi ndani ya nusu saa,je ana mabando ya hela mangapi ndani?
Nakushauri ujifunze kutafakari kabla ya kundadia hoja bila kujua mantiki ya hoja iliyotolewa.
Kabisa mkuu,wenye shda znazofanana na huyo dada,ni weng,saana.Rais bhaana..! Me niliwahi kusema hapa,mambo anayofanya Rais ni km bado yupo kwenye kampeni. Hakuna mtu anayeweza kupinga kusaidiwa huyu binti,lkn kwa mkuu wa nchi kujitokeza kusaidia moja kwa moja kwa hela cash ni tatizo kubwa.
Rais ni mkuu wa nchi,angeweza kuagiza hata taasisi zingine zilizo chini yake kwa ajili hiyo. Lkn pia Rais anapaswa kujua,huyo binti ni sehemu ndogo tu ya watanzania wenye shida km zinazofanana na hiyo. Anapaswa kulichukua km tatizo la nchi nzima na kuchukua hatua za kuweka mazingira bora ktk hospital zetu. Rais huyu huyu alipiga simu clouds kupongeza kipindi cha 360. Akapiga simu kueleza mshahara wake hapo hapo clouds,leo kachangia kupitia tangazo la clouds. Na kuna watu hapa wanashangilia. Kiukweli bado tuna safari ndefu km Taifa.
Njia ni serikali kugharamia matibabu. Mauritius wana 10,000 kwa kila raia kutibiwa nje pale ambapo inashindikana nchini kwao. Matibabu ni haki ya watanzania wote, sio mmoja mmoja anayebahatika kukamata attention ya Rais na familia yake.Hongera sana Rais wangu. Umefungua njia na wengine wanafuatia. Wale waliokuwa wanasema kuwa Rais hajali utu wa watu basi wajifunze kwenye tukio hili