Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

***

12931187_10207960562284940_5904163742851100006_n.jpg


12928122_10207960559884880_4181892194232418162_n.jpg


AMEKUJA CHATO KWA HELICOPTER YAKE BINAFSI.
Wakenya ni mabepari tangu zamani wao mwanasiasa kumiliki helicopter ni kawaida tu Wala sio big deal. Umeshaiona nyumba anayoishi odinga? acha kabisa, ni booonge la real estate, kutoka getini mpk uione nyumba yake ushatembea kama dakika 10 hivi.
 
Tulitarajia kwa kuwa Odinga ni mpinzani basi asioneshe urafiki wa wazi wazi kwa Magufuli. Sasa hili la kuja kumtembelea bila shaka ni pigo kwa wapinzani uchwara ambao kwa kawaida huwa wako pamoja na wapinzani wenzao wa nchi za jirani.
 
Umesahau Odinga kuwa ndiye aliyemuingiza magufuli ikulu, unakumbuka R.Mugabe alivyomnyooshea kidole baada yauchaguzi tz kwisha.
 
Sasa naelewa ni kwa nini JPM alimwongelesha Uhuru Kenyata kijaluo akidhani atamwelewa.
 
Basi asante maana nlikuwa najaribu kutafuta uhusiano kati ya Odinga na Cdm cjauona kuwa wapinzani wa nchi tofauti sio lazima kuungana mikono kwenye kila kitu
 
hii habari si njema kwa rafiki yangu mkikuyu MK254
Asante kwa kuniita huku kadoda11 maana hii taarifa haipo kwenye magazeti yetu, sijui kwa nini imepigwa blackout.
Sasa sijaelewa kwanini umesema ni taarifa mbaya kwangu, kwani inanihusu kivipi, huyo Odinga amemtembelea rafiki yake, kama vile Magufuli amewahi kuja hapa Kenya kumtembelea Odinga kipindi fulani.

Kwanza huyo Odinga alitegemewa kwenye mkutano fulani hapa na palichimbika kwa fujo na vurugu baina ya chama chake na kingine, sasa sielewi mbona akimbie kwenda kwa jirani na kuacha nyumba inaungua, hebu soma hii Raila skips Wetang'ula presidential bid launch at Muliro Gardens
 
Back
Top Bottom