Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,603
Walizuia bunge live wakidai watu hawatafanya kazi wakatumia mda wao kuangalia vipindi vya bunge,mbona yeye anaangalia asubuhi,kwahiyo hafanyi kazi?
Heri huyu anapiga simu Obama anahudhuria kabisa show za ma commedian. Mnatakiwa mbadilike siyo kudhani rais siyo binadamu kama wewe na mimi mkuu.Hiyo siyo kazi tuliyomtuma kuifanya hapo magogoni
Unamlazimisha?kama TBC hakuna mada inayomkuna atapiga vipi?Hiyo ni changamoto anawapa TBCkwanini asitumie TBC.
SWISSME
na kumuona kwa masikioKapiga nimemsikia kwa macho yangu