Rais Magufuli anazidi kuthibisha sio mwanasiasa

Habari JF,

Huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa.

imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama Sahara).

Huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa.

Jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi.

Nampa big up.

Anachokifanya raisi Magufuli ndicho alichoahidi na kuhubiri kwenye mikutano yake ya kampeni za kugombea nafasi hiyo. Aliahidi kusimamia wakwepa kodi wote,wezi wote wa fedha na rasilimali za taifa na kuwafikisha mahakamani. Hivyo hivyo aliahidi kusimamia sheria na utekelezwaji wake ikiwepo na hiyo ya ujenzi wa mabondeni,waliojenga na kuziba maeneo ya kupitisha maji hivyo kusababisha mafuriko,ujenzi kwenye vyanzo vya maji,ujenzi kwenye mito na maghorofa yasikidhi viwango.Hapa ni lazima sheria zifuatwe na hakuna cha siasa.Kodi lazima zilipwe kuendeleza nchi na halipo suala la double faced,kuwaridhisha wapiga kura na waliomfanyia kampeni. Uelewe mwezi June mwaka huu huu na sio mwaka kesho anakabidhiwa uenyekiti wa chama kitaifa. Wastaafu hawana nafasi kwenye uongozi wake kwani ndio waliotufikisha tulipo.Tunachomwomba raisi kwa sasa aumalize mzozo wa Zanzibar kwa haki na atuletee bungeni tena hili la Jan.hii mswada wa katiba kama ilivyowasilishwa na jaji Warioba maana hayo ndio mapendekezo ya wananchi na sio ya Sitta na bunge lake la katiba.
 
Y
Habari JF
Raisi Magufuli inawezekana na yeye amezungukwa na watendaji wabovu ambao wana maamuzi ya papara.,

Huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa.

imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama Sahara).

Huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa.

Jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi.

Nampa big up.
 
Kuna marafiki wawili walikua pamoja na kusoma pamoja ila mmoja aliendelea na masomo ya Juu wakaachana na mwingine akawa mfanya biasara,
Siku moja yule mfanya biashara alifanya kosa la kisheria akafikishwa mahakamani.. Akafikishwa mahakamani, Ahmad akamuona Hakimu ni yule Rafiki yake mkubwa na hawakuonana siku nyingi basi alifurahi akijua Hakimu atamuachia huru kisa ni rafiki yake... mambo hayakuwa hivyo Hakimu alimuhukumu rafiki yake kifungo cha mwaka mmoja au faini hakimu akafunga kesi yule rafiki yake alilia sana hakimu alitoka nje kimya kimya na yule Rafiki yake alishangazwa kahukumiwa rakini yupo huru nje akakutana na rafiki yake kipenzi akaanza kumlaumu kuwa hana urafiki wa dhati kwa kumuhukumu rafiki yake... Hakimu akamuambia nimetenda haki na nimekulipia faini usifungwe rafiki yangu... lakini yule RAFIKI yake ilimuuma sana na urafiki ukaisha...

Sasa kama Magufuli kwa upande wangu yupo sawa kama Dialo halipi kodi ipasavyo na huku ana ahadi ya neema kutoka kwa Magufuli basi ajipime kwanza... nadhani Star tv haitafungiwa am sure Magufuli anaweza hata akalipa kwa pesa zake Mwenyewe kama yule Hakimu ili kuutunza urafiki wao na kama Dialo ataona amedhalilishwa ni kivyake ni bora kuwa na Rafiki Mwerevu kuloko Mjinga...

Mtu mwingine anaweza kufanya hivo lakini siyo JPM.
Watu tuliwaambia wasichague Magufuli maana huyu jamaa ana elements za UDIKTETA perce. Rais huwezi kufanya kazi kwa mtindo wa JPM. Hii style ya KUSHTUKIZA, KUVIZIA, KUBOMOABOMOA,KUZUIA SAFARI ZA KIKAZI NJE YA NCHI, KUFUTA SHEREHE ZA KITAIFA ni mambo ya kidikteta na kukurupuka.

Kwa sasa JPM yuko mwezi wa 3 ndani ya IKULU lakini Watanzania wengi kwa sasa hawana hamu naye jamaa. Watu walifikiri wamepata kumbe wamepatikana. Bado miaka 5+ mbele ya safari mtaendelea kuisoma CCM mbele kwa mbele.
 
kuna mtu alisema ukiwa na huruma sana huwezi kua kiongozi thabiti
nakubaliana nae
 
Habari JF,

Huyu jamaa namcheki tangia alipokuwa President, ukiangalia mambo yake na maamuzi yake mfano bomoa bomoa, ban ya safari za nje, matumizi mengine kwa sana n.k
lakini hili la kuwafungia SAHARA MEDIA GROUP ambao wanamiliki star tv, rfa na kiss fm ambao walifanya juhudi kubwa sana katika kumpatia magufuli kura nyingi za kanda ya ziwa.

imeonyesha huyu jamaa anafanya anachokiamini bila kujali kua itamjengea chuki kutoka kwa wananchi wanyonge (bomoa bomoa) hivyo kumpunguzia kura
au kumtengenezea maadui wenye nguvu kubwa na ushawishi kwa wapiga kura (ban ya media giants kama Sahara).

Huyu jamaa sio mwanasiasa kabisa, maana kanuni moja kubwa ya siasa unatakiwa uwe double-faced (mnafiki), ili uhakikishe unawafurahisha wapiga kura, na pia wakati huo huo uhakikishe huwaudhi vigogo wenye nguvu kubwa.

Jamaa asipoingiliwa na hawa wastaafu sana nadhani ataendelea hivi hivi.

Nampa big up.

Kwa startv bora wangefungiwa forever hawana habari zaidi Ya kijani safi sana
 
Treni lishanyanyuka hilo break ni mpaka lifike kigoma likikosa mwendelezo wa reli.acha lipige kazi tuangalie tofauti itakua wapi na walopita,hao wastaaf walishafanya yao na walitufikisha hapa tulipo,ngoja huyu naye atufikishe anapotupeleka,then tutafanya tathmini badae.NO BREAK HERE.
 
Back
Top Bottom