Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Uliowataja wapi wamekosoa utendaji wa serikaliHeshima kwenu mkuu,
Mimi napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Rais Magufuli kwa Upeo wake wa kutambua mambo na kuijengea Heshima JamiiForums hata nje ya Mipaka ya nchi.
Kwa teuzi anazozifanya, WanajamiiForums hasa wale waliojisajili kwa Majina yao wamepata Upendeleo wa hali ya Juu. Namshukuru kwa hilo. Tumuunge mkono na tuendelee kumuunga mkono na kumkosoa bila kificho wala Matusi.
Kwa wale Wasiofahamu, Kila sehemu zote Muhimu, rais Magufuli Kawateua WanajamiiForums wale Walio Verified( Ambao wanatumia majina yao hapa JamiiForums). Hii inamaanisha kama mtu anatumia jina lake, anamisha anajiamini na yupo tayari kwa Lolote, wengi wanaogopa.
Kwa Upande wa Mawaziri, Rais Magufuli hajatusahau WanajamiiForums.
1. Kamchukua Mwigulu Nchemba
2. Kamchukua HKigwangalla. n.k
3.
4.
Wakuu wa Mkoa wale ninao Wafahamu.
1. Alimchukua Paul Makonda
2. Alimchukua Mrisho Gambo
3. Amemchukua Anna Mghwira . nk
4.
Wakuu wa Wilaya ninao wafahamu ni
1. Richard Kasesela
2.
3.
Wapo wengine wengi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo. Wapo wengi Serikali ambao ni Verified. Kwanza nawapongeza. Hii imesaidia kuonekana na imesaidia rais kuwapima kutokana na Michango yao kwa Jamii. Hakika rais Hajatutupa.
Natamani hawatatuangusha Watanzania