Iko mingi kuna wengine wanaabudu mawe....wengine...ng'ombe...wengine hirizi nk...Orodha ya miungu ni ndefu hiyo nimetaja kwa uchache tu so hata unapoimba unatakiwa umtaje huyo mungu unaemuabuduKwani kuna miungu wangapi?
Wewe ndiyo uende huko face book na whatsapp. Utajadilije mada kama hujui kama serikali inataka kuombewa kwa kumtumia mungu gani!J
Jadili mada maswali peleka Facebook na whatsup
Well said,Mleta mada, naomba kifungu hata kimoja tu kutoka katiba ya JMT au katiba ya Zanzibar kinachoonyesha kuwa Rais wa JMT ana uwezo wa kuingilia kazi za NEC au ZEC ikiwa ni pamoja na kutengua maamuzi ya vyombo hivi viwili. Otherwise tuache kupiga porojo na kujisahaulisha kuwa madaraka ya Rais yapo kikatiba na si kwa kubuni kutoka kichwani mwake.
Ni kweli usemayo ndugu au unafahamu mawazo ya Mungu wa Mbingu na nchi....mie sijui mipango yake aisee...Mungu wa msoga na mungu wa masasi mkuu lakini Mungu aliye umba mbigu na nchi hawezi kukubali upumbavu wa kiongozi kutoka chama cha MAPINDUZI YAAN CCM
Kwa hiyo vile vikao vya kutatua mgogoro vilikuwa danganya toto? na ile kauli yake bungeni je? BE SERIOUSMleta mada, naomba kifungu hata kimoja tu kutoka katiba ya JMT au katiba ya Zanzibar kinachoonyesha kuwa Rais wa JMT ana uwezo wa kuingilia kazi za NEC au ZEC ikiwa ni pamoja na kutengua maamuzi ya vyombo hivi viwili. Otherwise tuache kupiga porojo na kujisahaulisha kuwa madaraka ya Rais yapo kikatiba na si kwa kubuni kutoka kichwani mwake.
He hebu kasome katiba jamani mbona ziko wazi! Hivi hujui majeshi yako chini ya muungano??? AgrrrrNa wewe nipe kifungu cha katiba kinacho mruhusu Rais wa JMT Kupeleka Jeshi ZNZ na kuiteka Tume ya Uchaguzi ZEC pale Bwawani Hotel na Kuamuru wasimeme kutangaza Matokeo !!!
Mkuu umeweka pazia kwenye macho yako ili usione tu.... hivi hiyo NEC na ZEC zinachaguliwa na nani? Na je ni tume huru? Ukipata majibu ya maswali hayo njoo hapa tuendeleze mjadala la sivo wewe ni katika wale wanao lipwa japa JF kutetea tu.....Mleta mada, naomba kifungu hata kimoja tu kutoka katiba ya JMT au katiba ya Zanzibar kinachoonyesha kuwa Rais wa JMT ana uwezo wa kuingilia kazi za NEC au ZEC ikiwa ni pamoja na kutengua maamuzi ya vyombo hivi viwili. Otherwise tuache kupiga porojo na kujisahaulisha kuwa madaraka ya Rais yapo kikatiba na si kwa kubuni kutoka kichwani mwake.