Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
- Thread starter
- #21
Sawa wamatopeniHahaha naona Nyumbu wanajipa moyo.
Any way mfa maji haachi kutapatapa..
Ukweli ni
Ukirudiwa uchaguzi wa rais Leo na chadema wakapata kura zaidi ya million 2 , haki ya Mungu natembea kwa miguu kutoka Dar hadi Simiyu.