Rais Magufuli amteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria(OUT)

Rais wetu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amefanya uteuzi wa waziri mstafu kuwa Mkuu wa chuo huria
Pinda.jpg
 
Hakika CCM ni ile ile ooh ni ile ile,tulimbeza kikwete kwa teuz za hovyo,,Anko na yy anapita mulemule
 
Nyuso zile zile, sura zile zile na majina ni yale yale... Hongereni sana ruling elites...

Huwa ninajiuliza inakuwaje watu wanaochaguliwa kuongoza sehemu mbalimbali ni walewale? Hii inaonyesha hatuwezi kupata mabadiliko yoyote kwani wanaochaguliwa kuongoza sehemu mbalimbali ni walewale. Nilitarajia mtu akimaliza muda wake wa utumishi haswa kiongozi, aachwe atuonyeshe kile alichokuwa anatuhubiria akiwa anapatiwa huduma zote bure na serekali ili aone zile nadharia alizokuwa analisha watu kama zinatekelezeka. Kwangu mimi naona ni aina fulani ya kuficha udhaifu wa viongozi wetu kushindwa kujitegemea bila ya kutoka madarakani.
 
Back
Top Bottom