Kwa watu wanaofahamu siri na itifaki za kijeshi nchini walifahamu mapema kuwa atakuwa Mkuu wa Majeshi baada ya kuteuliwa kuwa Chief of Staff kutoka Chief of Military Intelligence.
Hata General Mwamunyange alipitia njia hiyo hiyo kutoka Chief of Military Intelligence.
Nimtakie maisha marefu General Mwamunyange kwa kukabidhi jeshi likiwa salama lakini pia limepiga hatua kubwa kiufanisi.
Nimtakie pia General Mabeyo kazi njema na yenye mafanikio.