Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania

Unaweza kuuleta hapa halafu uni-tag mkuu moolizy
Comrade igwe njoo maana umepiga sana kampeni huyu mtu awe CDF
Hongera yake pia

Ila jf kubwa sana Kuna uzi humu wa wanajeshi walikua wanachimba nani awe CDF mpya naona aliyetajwa sana kaula
 
Nadhani hata sura zinaangaliwa.huyu anaonekana mlokole sana huyu.

Hongera sana mzee kazi njema.
 
Tunaomba CV ya General Mabeyo.
Hongera zake sana.
Hongora pia kwa Mwakibolwa
 
Kamteua tena ngosha, ukanda hauwezi kukoma kwa mwendo huu
Licha ya marehemu Lt. General Mayunga kufanya vizuri sana kwenye vita vya Uganda na Baba wa Taifa hakumpa u CDF kwasababu alizoziona mwenyewe baada ya hayo rejea majina ya
hawa wafuatao na wote watakaokuunga mkono na mguu ili mfahamu historia ya Jeshi letu:
1. General David Musuguli alikuwa wa Mkoa gani?
2. General MWITA Marwa KYARO alitoka mkoa gani?
3. General Waitara alitoka mkoa gani?
Ukipata majibu ya hapo lete maigizo yako jamvini na waliokutuma.
 
Back
Top Bottom