Rais Magufuli amteua Prof. Chibunda kuwa Makamu Mkuu chuo cha SUA

Hahahahahaaaaa! Yaani siku hizi CHAGADEMA mko out of touch. Kweli mmeishiwa. Poleni sana. SUA tuko Imara sana na tuna uelewa mkubwa kuliko huu unaoutumia kuandika mtu. Kuteuliwa mtu kuwa VC sio lazima atoke hapa kwetu. Tuko happy na tutachapa kazi kama kawaida. Kusema 2020 tusifanye tena kosa maana yake tuchague EL au TL au Mwwnyekiti wenu asiekuwa na kitu kichwani? Big no. We are great thinkers.
...sijui limekula maharage ya wapi hilo jinga aisee!
 
Hahahahahaaaaa! Yaani siku hizi CHAGADEMA mko out of touch. Kweli mmeishiwa. Poleni sana. SUA tuko Imara sana na tuna uelewa mkubwa kuliko huu unaoutumia kuandika mtu. Kuteuliwa mtu kuwa VC sio lazima atoke hapa kwetu. Tuko happy na tutachapa kazi kama kawaida. Kusema 2020 tusifanye tena kosa maana yake tuchague EL au TL au Mwwnyekiti wenu asiekuwa na kitu kichwani? Big no. We are great thinkers.
Acha kukenua ovyo unajiabisha tu kwa kutokuwa na taarifa kamili. Kwanza huyo Chibunda alikuwa SUA kabla ya kwenda COSTECH, hivyo ni mtu wa SUA. Na kwa taarifa yako alikuwa kitivo cha tiba ya mifugo.
 
Ina maana hajaona mtu anayefaa kuchukua nafasi hiyo kutokea hapo hapo SUA? Mbona maprof wazuri wapo wengi tu pale SUA?

Chibunda alikuwa lecturer SUA, kafikia daraja la uprofesa SUA sasa akiteuliwa kuwa VC katika chuo alichotumikia kwa miongo kadhaa kabla ya kwenda Wizara ya Elimu. Kuna kosa gani kuwa VC wa chuo alichotumikia tokea ujana wake? Binafsi nampongeza ni mchapa kazi, humble, anaheshimu utu na ana vision. Kiufupi ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi muhimu nchini lenye jukumu la kusimamia matumizi ya viuatilifu (pesticides) hapa nchini. Ndani ya muda mfupi ameleta mabadiliko makubwa katika Taaisisi hiyo.
 
Magufuli hateui bali anatamka. so huyu ni mtamkwa wa rais sio mteule. Wateule wa taasisi nyeti kama SUA huwa kuna utaratibu wa search committee ambayo huwapitia wanajumuia husika na kuona ni nani wanafaa. Wanachuja majina na kubakiza majina matatu na kuyapeleka Ikulu ili rais achague mmoja kati ya hao.
Sasa huyu alikuwa nje ya academic asingefikiriwa hata kidogo na search committee ya kuongozwa na professor yeyote yule aliye chuo.
Na hasa Prof. Monela alijua kuwa anastaafu muda lazima kuna watu aliwafikiria kwaajili ya succession plan. Sasa huyu mgeni hajui hata kinachoendelea pale SUA anakuja kudandia gari aliloliacha kwa mbele. Anatakiwa kuwa msikivu sana. Vinginevyo donor funded project zitakuwa matatani.
 
Naona kuna tatizo sehemu fulani juu ya teuzi za mkulu. Nadhani watu wanaomshauri labda wamekata tamaa baada ya kuona Mkulu hataki kushaurika ....kupokea ushauri au nao ni watetea matumbo yao tu.

Hivi unaanzaje kumteau Profesa ambaye ametoka nje ya field (mathalani from being Lecturer ) na kwenda kuwa mtawala katika wizara fulani...halafu baada ya miaka kadhaa ukamrudisha kuwa VC katika chuo alichotoka au hata kwenda kuwa VC katika chuo kingine? Mkulu anafanya mambo ya aibu sana as if SUA hakuna ma-professor waliobobea na ambao wana sifa za kumzidi huyu jamaa!

Imagine sasa mtu kama huyu anakwenda pale SUA halafu hakuna happiness from SUA community to support him; will he manage to perform well? Hivi ni lazima amteue mtu kisa tu anafahamiana nae kwa muda hivyo anaona ampe ulaji?

It is a shame! Wana SUA poleni sana, hakuna namna komaeni tu hivyo hivyo lakini 2020 sio mbali, msije rudia kosa la 2015!
Nyie ndo mnaoponda kila kitu anachofanya Raisi. Inamaana wewe na Raisi nani anajua mtu gan atafaa kuwa VC wa SUA? Acha unazi, chapa Kazi.
 
Hi

Hii ya Rais kumteua Makamu Mkuu wa Chuo (VC) imerudi lini? Utaratibu ninaoujua kwa zaidi ya miaka kumi sasa, kisheria, ni kuwa VC anateuliwa na Mkuu wa Chuo (Chancellor), siyo Rais.
 
Magufuli hateui bali anatamka. so huyu ni mtamkwa wa rais sio mteule. Wateule wa taasisi nyeti kama SUA huwa kuna utaratibu wa search committee ambayo huwapitia wanajumuia husika na kuona ni nani wanafaa. Wanachuja majina na kubakiza majina matatu na kuyapeleka Ikulu ili rais achague mmoja kati ya hao.
Sasa huyu alikuwa nje ya academic asingefikiriwa hata kidogo na search committee ya kuongozwa na professor yeyote yule aliye chuo.
Na hasa Prof. Monela alijua kuwa anastaafu muda lazima kuna watu aliwafikiria kwaajili ya succession plan. Sasa huyu mgeni hajui hata kinachoendelea pale SUA anakuja kudandia gari aliloliacha kwa mbele. Anatakiwa kuwa msikivu sana. Vinginevyo donor funded project zitakuwa matatani.
Ama unapotosha makusudi au huna taarifa sahihi
 
Naona kuna tatizo sehemu fulani juu ya teuzi za mkulu. Nadhani watu wanaomshauri labda wamekata tamaa baada ya kuona Mkulu hataki kushaurika ....kupokea ushauri au nao ni watetea matumbo yao tu.

Hivi unaanzaje kumteau Profesa ambaye ametoka nje ya field (mathalani from being Lecturer ) na kwenda kuwa mtawala katika wizara fulani...halafu baada ya miaka kadhaa ukamrudisha kuwa VC katika chuo alichotoka au hata kwenda kuwa VC katika chuo kingine? Mkulu anafanya mambo ya aibu sana as if SUA hakuna ma-professor waliobobea na ambao wana sifa za kumzidi huyu jamaa!

Imagine sasa mtu kama huyu anakwenda pale SUA halafu hakuna happiness from SUA community to support him; will he manage to perform well? Hivi ni lazima amteue mtu kisa tu anafahamiana nae kwa muda hivyo anaona ampe ulaji?

It is a shame! Wana SUA poleni sana, hakuna namna komaeni tu hivyo hivyo lakini 2020 sio mbali, msije rudia kosa la 2015!
Hivi wewe umesomea wapi? Elimu yako ni ya kiwango gani? Hivi uliona wapi pameandikiwa kwamba ukifanya kazi UDSM uteuzi wako utakuwa UDSM, SUA hali kadhalika. Kufikiri hivyo nakuamini kama ulivyoamini wewe ni Upumbavu na ujinga unaotokana na kutawaliwa na itikadi na pia kuwa na chuki binafsi, Kumbuka huu ni utumishi tu, anaweza kutumika popote Tanzania kwenye Vyuo vikuu vya Serikali. Wewe kama una hasira kwa sababu hili Lenye nywele Nyeupe (Fisadi) halikuchaguliwa na wananchi hivyo kura yako ikawa inepotea bure, ndiyo maana umehamishia hasira zako za KUSHETANI humu mitandaoni. Nakujulisha kuwa kulalamika mitandaoni Utazeeka bure. Hatubadilishi maamzi kupitia kelele za mitandaoni.
 
Hongera Prof ,nilikua nakutana nae kwenye vikao vya Senate chuo cha MUST.
 
Raisi kaamua kuwapiga chini wahuni walioko SUA make wamekigeuza chuo kuwa Sacco's yao. Taratibu SUA ilianza kuoza mizizi
 
Naona kuna tatizo sehemu fulani juu ya teuzi za mkulu. Nadhani watu wanaomshauri labda wamekata tamaa baada ya kuona Mkulu hataki kushaurika ....kupokea ushauri au nao ni watetea matumbo yao tu.

Hivi unaanzaje kumteau Profesa ambaye ametoka nje ya field (mathalani from being Lecturer ) na kwenda kuwa mtawala katika wizara fulani...halafu baada ya miaka kadhaa ukamrudisha kuwa VC katika chuo alichotoka au hata kwenda kuwa VC katika chuo kingine? Mkulu anafanya mambo ya aibu sana as if SUA hakuna ma-professor waliobobea na ambao wana sifa za kumzidi huyu jamaa!

Imagine sasa mtu kama huyu anakwenda pale SUA halafu hakuna happiness from SUA community to support him; will he manage to perform well? Hivi ni lazima amteue mtu kisa tu anafahamiana nae kwa muda hivyo anaona ampe ulaji?

It is a shame! Wana SUA poleni sana, hakuna namna komaeni tu hivyo hivyo lakini 2020 sio mbali, msije rudia kosa la 2015!

Mkuu mnyonge mnyongeni...hapa Magufuli kakosea wapi? Huyu bwana ni Profesa ambacho ndo kigezo kikubwa cha kuwa VC. Huyu bwana alikuwa Mwalimu wa SUA, anakifahamu chuo na wana-SUA wanamfahamu. Kosa liko wapi? naweza kusema huyu bwana amepata uzoefu ndani na nje ya SUA. Kitendo cha kufanya kazi kama Mkurugenzi msaidizi kimempa uzoefu wa utawala-nje ya mazingira ya SUA. Kazi kubwa ya VC siyo kufundisha ni administration na management. Mlitaka nani apewe hii kazi?

By the way tuache kukariri kwamba VC lazima atoke miongoni mwa wana-chuo husika. Ni kasumba au mazoea lakini si lazima. Kwa nchi za wenzetu nafasi kubwa kama hizi zinatangazwa globally watu wanashindana! for the post of VC you need a top notch administrator-in addition to his academic qualifications. Not simply Profesa anayefundisha hicho chuo. The way I see it, kesho mkisikia Magufuli kateua Mtanzania aliyeko Australia au Belgium kama Profesa au top notch administrator (mfano) kama VC watu mtaandamana.

Tuache mazoea "this is the way things are done"...lazima tukubali mabadiliko. Mimi kama mimi sioni tatizo la huu uteuzi. As long as jamaa ni msomi mahiri, ana experience ya utawala na sifa nyinginezo. Vyuo vyetu vinahitaji watawala wenye maono, wenye exposure, wenye experience ndani na nje ya nchi. Huu ujanja ujanja..mtu unasoma Bachelor, Masters, PhD nk katika chuo kimoja, kesho unapewa madaraka makubwa kama VC..ndo mwanzo wa kufanya Vyuo vyetu kuwa branch za CCM.

In fact next time hizi nafasi zitangazwe ndani na nje ya nchi..wasipewe watu kwa sababu ya royalty kwa chama. Bali for what they bring on the table.
 
Back
Top Bottom