Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,502
- 22,355
Hongera Mama Makinda kuongoza Bodi ya NHIF, Kazi inayofuata ni kumshauri Rais kuteua Mkurugenzi Mkuu NHIF nafasi ambayo inatolewa macho na Mmoja wa Vigogo wa juu NSSF ambae pia anajidai ni shabiki wa Simba alieshindwa kwny jaribio la kutaka kumrithi Dr. Dau baada ya kushiriki mbinu kadhaa chafu za kupata ulaji NHIF ikiwa ni pamoja na kutapeliwa zaidi ya Mamilioni na wajanja wa Mjini waliojifanya Wazee wa System pale Courtyard Hotel
Ukiwa mjanja sana kuna kipindi kinafika inabidi utembee unaangalia nyuma kila sekunde.
Daesaaama ina wenyewe.