Rais Magufuli amteua Dr. Kyaruzi kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TANESCO

Magufuli is an equal opportunity employer. Atakuwa anaangalia uzoefu wa mtendaji na sio imani yake, japo in some cases
'gender balance' ni muhimu pia'

Well said mkuu, ila kwa 'gender balance' naona suala hilo kama wamelisahau kidogo vile!

Vile vile na ma Waziri wakumbushwe kwamba kwenye utehuzi wa ma Board Members wasiwasahau wanawake, wakina mama ni binadamu makini sana.
 
Wahaya wakiwa wawili basi keleleeee!Lakini wachaga 10 hatuasikii kelele.Hii tabia ya kuchukia makabila Ndo inetufikisha hapa tulipo.Imefika wakati wahaya wameacha kutumia majina ya Kihaya .

Basi wana apply kazi Kama Kawaida na kuajiriwa wahaya kadhaa Kwa Sifa ,wale walokuwa na nia ya kuwabagua hushangaa kukuta wahaya kamamJackob James wamejaa.Sasa hapo ndo hugundua wahaya huingia Kwa vigezo.

Na hawa wenzetu Kwa kusomesha watoto shule bora hawajambo.Hata Kama mzazi hana uwezo atajinyima Kila kitu kumpeleka mwanae shule nzuri.Wakishafanikiwa tunaanza chokichoko.

Hao kina Dr Kyaruzi tatizo walisoma zamani.Siku hizi mtakuwa mnakutana na Prf Anita Peter,Dr Victor Joseph etc.

Ndo itakuwa kazi kwenda kuchimbua Kabila zao. Nyambafu zenu.
 
amushasha,

Hazina wamejazana wapare na wachaga hila hilo hawaoni, nssf na nhif ndio panajulikana ni mashirika yao hilo hawaoni.Magu fanya kazi tu si walijipendekeza wenyewe kukuchagua wakasema umeletwa na Mungu
 
Sawa kabisa Bramo baelezee. Suala ni competence kwani umeme ili uwe imara na endelevu unafuata makanisa au msikiti? Jadili suala kwa upeo sio kwa akili fupifupi
 
Well said mkuu, ila kwa 'gender balance' naona suala hilo kama wamelisahau kidogo vile!

Vile vile na ma Waziri wakumbushwe kwamba kwenye utehuzi wa ma Board Members wasiwasahau wanawake, wakina mama ni binadamu makini sana.
Suala ni mantiki. Gender sio msingi wa uadilifu na uchapa kazi. Uteuzi unafuata mchakato mrefu wa kitaalamu kupitia kwa washauri mbailnbali wanaomsaidia Rasi. Hayo ni matokeo yaliyotokana na fairness/objectivity na sio subjective-based on ones feelings
 
Hongera sana rais wangu kwa kuzitambua brain za ukweli na kuziweka kwenye serikali yako. Namkubali sana dkt .Samweli Nyantahe huyu ni azina kwa taifa bila shaka wanafunzi wengi mliopitia kwake mtaniunga mkono.
 
babumapunda

Ndugu, kama utachunguza vizuri kigezo hapo ni elimu, kwa uzoefu wangu naamini umri wa hao walioteuliwa utakuwa above 65 sasa jiulize, enzi hizo za akina dkt.Samweli Nyantahe , dkt. Kyaruzi waisilamu wengi walikuwa wanasomea kitu gani vile! Tuwe wapole tu.
 
inaitwa DP 171 kaka sio PD.... PD ni mamichoro hayo (Engineering drawing) ya kina dr. Elias

Thanks kwa kunikumbusha, uzee unaninyemelea, kimsingi Dr Kyaruzi anastahili na si kwa kabila au dini yake bali ni uwezo wake wa kuujua umeme, ikumbukwe kwamba huyu jamaa anaujua umeme sawa sawa
 
Hongera sana rais wangu kwa kuzitambua brain za ukweli na kuziweka kwenye serikali yako. Namkubali sana dkt .Samweli Nyantahe huyu ni azina kwa taifa bila shaka wanafunzi wengi mliopitia kwake mtaniunga mkono.

Samahani mkuu naomba kuuliza Dk. Nyantahe alikuwa ana fundisha chuo gani na kozi zipi?kaacha kufundisha miaka gani au bado ana fundisha?
 
Back
Top Bottom