Tulisakosea toka mwanzo kaka, Ukweli ni kuwa tulibadili katiba kuingia mfumo wa vyama vingi lakini ki uhalisia tulibaki na mfumo wa chama dola kiuendeshaji wa serikali na hivyo vyama vingine vikabaki geresha kuwazuga wazungu.
Hebu fikiri kuna chama kimepata pamoja na uchakachuaji kura karibu sawa na chama tawala, Lakini kwa waheshimiwa kwao ni jambo dogo kiasi wanaona watumie ma RPC kulemaza upinzani ONLY IN TZ