Rais Magufuli amfyeka shemeji yake vyeti feki

Na kama maisha yote alikaa kwa JPM mpaka anapata ajira....kwa nn,usiniaminishe hata upatikanaji wa cheti forgery shemeji wake kahusika kwa moja au mbili....?
Na ukiangalia JPM ndio alikuwa kwenye nafasi kwa hiyo kuna urahisi wa mambo yote mawili kuajiriwa na kughushi cheti.
 
Back
Top Bottom