Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na ngombea wa CUF
Rais Magufuli amekutana na kuzungumza na mgombea urais wa Zanzibar,Seif Sharif juu ya mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar.Kilichozungumzwa bado sijakujuwa ila wawili hawa wamekutana magogoni leo.
MCC at work!!!

Wampe Seif urais wake mambo yaishe waendelee kujenga nchi.

Mbona mimi sielewi wajameni ! si mlisema Zanzibar ni Nchi sasa Magufuri anafuatwa kufanya nini ? Anaendea kusuruhisha ugomvi kwa Jamhuri ya Zanzibar , kwani wameshindwa kumalizana wenyewe
mbona maalimu yuko zanzibar toka asubuhi?