Rais Magufuli akutana na Balozi wa Israel nchini Ikulu leo

Hivi kwanini siwezi kuquote mtu?
Anyone expriencing the same problem here?
 
Wewe ndio maana nimekwambia ni mwehu,unasema MTU AKIWABARIKI WAISRAEL NAE MUNGU ATAMBARIKI,sasa ndio nimekuuliza kuna mtu anambariki mwanadamu mwenzie? Maana hao waisrael ni binadamu kama wewe sasa utawabariki vp? Hivyo viroba mnavyopewa kanisani wenyewe mnaita divai vinawavuruga akili mnakuwa kama mazezeta
Inategemea na uelewa wako mkuu. Sisi wakristo tumepewa nguvu ya kubariki na kulaani kupitia maneno. Tunasoma katika Mwanzo 27 kuwa Yakobo alibarikiwa na baba yake (Isaka) baada ya kumtengenezea supu nzuri ya mwanambuzi. Yakobo alipokea baraka hizo na ameendelea kuwa taifa lenye nguvu. (Vizazi vya Yakobo ndiyo Israel ya leo.)

Likewise, mdomo pia una nguvu ya kulaani. Hii tunaiona kwa mmoja wa watoto wa Nuhu ambaye alishindwa kumsitiri baba yake baada ya kumkuta amelewa na yupo uchi.Hamu(jina la mtoto huyo wa Nuhu) alilaaniwa laana kuu na baba yake baada ya Nuhu kuamka kutoka ulevini. Hii tunaiona katika Mwanzo 9:24-25.

So, binadamu anaweza kubariki na kulaani mkuu. Hata wewe mwenyewe bila shaka(ukiachilia mifano hiyo ya kibiblia) utakuwa umeshawahi kusikia mtaani mtu akisemwa kuwa "huyu hana radhi ya baba yake" au "huyu amekosa radhi ya mama yake" na vitu vingine kama hivyo.

Nadhani nimekusaidia kwa kiasi fulani.
 
hivi tuna ubalozi wa hawa wapuuzi nchini mwetu...??!

hapo juu ya mlongo wa ikulu kuna mandishi ya kiarabu ni sura 15 ayat 46 tafsiri ni " wataambiwa ingieni kwa salama na Amani"

njiwa...hayo maandishi hayaonekani vizuri ni ya KIARABU?
 
Kwa wanaohusika na wardrobe ya Dr Magufuli, raisi wetu mpendwa, badilisheni fundi wa suit zake. Sleeves are too long, it's a school boy's error for a professional designer or tailor.
....we are above that here.....! Kama kajiona yuko ok, na first lady karidhika, nini tatizo?
 
Kwa wanaohusika na wardrobe ya Dr Magufuli, raisi wetu mpendwa, badilisheni fundi wa suit zake. Sleeves are too long, it's a school boy's error for a professional designer or tailor.
Ni kweli mkuu, wamtafute tailor wa JK fundi huyo ni kiboko kweli kweli katika ushonaji wa Kaunda Suit and the like, lakini linapo kuja suala la suti napendekeza wakamununulie suti moja kutoka Supermarket ya Harrods Oxford Street LONDON, suti hiyo wawapatie mafundi wake wa hapa Bongo kama sample ya kujifunzia kushona suti zenye viwango vya hali ya juu, wasimvalishe suti za kupwayanga pwayanga tu, sisi raia tunaona kasoro hizo na si mara moja, je,wageni wanao kuja kumtembelea Ikulu watatufikiliaje?
 
Kwa wanaohusika na wardrobe ya Dr Magufuli, raisi wetu mpendwa, badilisheni fundi wa suit zake. Sleeves are too long, it's a school boy's error for a professional designer or tailor.

At least Mkuu umeona cha maana katika yoote haya! Waache hao wanaobishana kuhusu Rais kukutana na Balozi huyu au yule - simple minds!
 
View attachment 317809

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan
alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016
View attachment 317811
View attachment 317810
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016
Medium of communication ni nini hapo au kuna wakalimani? Maana nasikia mmoja wao hapo inteneshno langueji problem
 
Back
Top Bottom