Rais Magufuli akitaka kufanikiwa aruhusu immigrants na Dual Citizenship

Hii siyo vita Rebeca 83 bali uhalisia ni muda muhafaka wa serikali kuruhusu dual citizenship itasaidia vitu vingi Sana wale wanauchumi wanzangu najua wanaelewa nini namaanisha hapa.
Ngoja sasa,uone vita kati ya JF Diaspora,na JF home,Tanzania.....

Some popcorn,lol,
 
Kaka
Wahamiaji hua hawatafuti kazi serikalini, fanya research yako kote duniani. Hua wanatafuta private na ku create zao.
Hapo ndo wana make differences, wahamiaji.

Mfano, tuna ziwa victoria, nyasa, tanganyika, eyasi. Mto rufiji, kagera, malagalasi nk mbunga na mashamba yako wazi. Na bado tunalilia serikali ijiandae na njaa kuhudumia na ikishindwa itakiona cha mtema kuni, sababu mvua hakuna.

Wahamiaji would have closed this gap, amini nakwambia.

Wapi niliposema wageni wanatafuta kazi serikalini? Ukweli ni kiwa Tanzania hakuna kazi, na kazi zilizopo zimawatosha Watanzania
 
Kupinga dual citizenship ni ulofa na ubinafsi tu.

Dakika chache nimetoka kuongea na ndugu yangu yupo Odense DK sasa mwaka wa 10. Japo anapata haki kama raia wengine wa Denmark lakini anashindwa kuji-commit kwenye mambo mengi kwasababu bado tu anajua yeye si raia. Sasa hapa nashangaa kwanini dual citizenship isiruhusiwe tu? Inamaana akitaka kuwa raia wa DK basi anapoteza uraia wa Tz. Na hapa nyumbani ameacha ndugu. Serikali iache ubinafsi.......kukataa dual citizenship ni ulofa tu.
 
Wahamiaji wana create more jobs. Maana watasafiri watakula, watalipa kodi za nyumba na creativity nyingine ambayo mzawa anaishi kado kado za ziwa victoria anasema hakuna mvua.
 
Waamiaji hawawezi kucreat kazi, kazi zinaletwa na investors,
 
Kupinga dual citizenship ni ulofa na ubinafsi tu.

Dakika chache nimetoka kuongea na ndugu yangu yupo Odense DK sasa mwaka wa 10. Japo anapata haki kama raia wengine wa Denmark lakini anashindwa kuji-commit kwenye mambo mengi kwasababu bado tu anajua yeye si raia. Sasa hapa nashangaa kwanini dual citizenship isiruhusiwe tu? Inamaana akitaka kuwa raia wa DK basi anapoteza uraia wa Tz. Na hapa nyumbani ameacha ndugu. Serikali iache ubinafsi.......kukataa dual citizenship ni ulofa tu.

Kukataa Dual citizenship. Nikithibitisho kingine hatuna wataalamu.

Dual citizenship ni by design lazima ilihusiwe. Na Elimu tuliyo nayo kwa kujifungia sababu hatutaki dual citizenship hatutatoka hapo tulipo hata ashuke nani.
 
Kwani ninaposema wahamiaji unaelewa nini, kaka?
Mimi sina maana ya wakimbizi. Wahamiaji wa kiuchumi wanaotafuta "green pasture"

Kaka unajichanganya na maelezo yako, kwenye hoja yako ya kwanza unazungumzia ruhusa kwa Immigrants waingie na wafanye kazi bila vibali, hao ni tofauti na investors ambao wanakuja na capitals kuwekeza kwa ajili ya kupata faida,
Hao investors hakuna mtu anayewanyima Permit wala usumbufu Dangote, BP, Backlays, Barrick, FNB, nk wewe unazungumzia wafanyakazi watoke kwao waje kugombea kazi na wazawa, watu wasio na capital zozote zaidi ya vyeti vya shule tu labda na experience
 
Impact of Immigration on UK Economy
Tejvan Pettinger July 19, 2016 economics

In the past two decades, the UK has experienced a steady flow of net migrants into the economy. Net migration is a significant factor in the growth of the UK population. But, does this net migration help or hinder the UK economy?
Impact of Immigration on UK Economy | Economics Help
 
Changes to immigration rules boost businesses and students - News stories - GOV.UK
International students and businesses are set to benefit from a series of changes to the Immigration Rules being announced today.

The changes are part of the government’s continuing work to ensure the best and brightest talent can come to the UK to work, study and invest in business.

From April 6 the UK Border Agency will expand the Graduate Entrepreneur scheme to allow up to 1,000 international MBA graduates from British universities to stay in the UK for a year after graduating.

These gifted graduates will be able to develop their own business idea, or work in a start-up, after which they will have the option to stay on in the UK as a skilled worker or entrepreneur.
 
Impact of Immigration on UK Economy
Tejvan Pettinger July 19, 2016 economics

In the past two decades, the UK has experienced a steady flow of net migrants into the economy. Net migration is a significant factor in the growth of the UK population. But, does this net migration help or hinder the UK economy?
Impact of Immigration on UK Economy | Economics Help

Nilishakwambia usilinganishe hayo mambo ya ulaya na Tanzania, huwezi kupata uhalisia hata kidogo, ulaya kazi ya Bar au Hotel ni kazi ya Heshima sana na ina mifumo yake, Tanzania hizo ni kazi za kishenzi/kihuni, yaani unakuta mtu ana Bar na wafanyakazi zaidi ya kumi anawalaza geto,

kaka elewa kuwa Tanzania hakuna kazi, watanzania wenyewe wenye level mbalimbali za elimu na uzoefu wanaangaika kutafuta kazi sembuse Wageni?

Hatujafikia hiyo stage ya kuwaleta wageni kuja kufanya kazi bila vibali, Dangote kaleta gari 600 kulikuwa na Madereva zaidi ya 4000 walienda kusololea kazi,
 
unategemea nini kutoka kwenye akili za kiccm? hawaoni nchi nyingine wanavyoendelea wao bado wako miaka ta 60-70 huko nyuma
 
Regulated process ipi? wewe ukiwa na kampuni unaitisha interview anayeweza ndo unamchukua.
Wahamiaji ni creative kutokana na ukweli kuwa anakuwa hayupo nyumbani na anatumia uwezo wa ziada ili ku survive, hapo ndo creativity inapokuja.
Mkuu creativity inatokana na kujiamini (High self esteem).Ni kweli kwa muda mrefu sisi watanzania tulikuwa na LOW self esteem. Kila kitu KIZURI tunajifananisha na nchi JIRANI.Hata kwetu sasa kuna Creativity/Ubunifu!
 
Nilishakwambia usilinganishe hayo mambo ya ulaya na Tanzania, huwezi kupata uhalisia hata kidogo, ulaya kazi ya Bar au Hotel ni kazi ya Heshima sana na ina mifumo yake, Tanzania hizo ni kazi za kishenzi/kihuni, yaani unakuta mtu ana Bar na wafanyakazi zaidi ya kumi anawalaza geto,

kaka elewa kuwa Tanzania hakuna kazi, watanzania wenyewe wenye level mbalimbali za elimu na uzoefu wanaangaika kutafuta kazi sembuse Wageni?

Hatujafikia hiyo stage ya kuwaleta wageni kuja kufanya kazi bila vibali, Dangote kaleta gari 600 kulikuwa na Madereva zaidi ya 4000 walienda kusololea kazi,

Tanzania hakuna kazi sababu yakuweka ngome, wote wanabaki na mawazo ya aina moja yasiyokuwa creative na mwisho wake wote wanataka kazi kutoka serikalini kwa sababu hawawezi ku create kazi wamejifunga kwenye box la uzawa.

Serikali ikitaka kutoka humo na iachane na pressure kutoka kwa wananchi kwamba imezuia ajira nk, yapaswa kuruhusu immigrants waje wawafundishe wazawa namna yakutengeneza kazi. Itakuwa kama ulaya hivyo hivyo, ndugu yangu.

Tatizo la ajira Tanzania ni mindset iliyojikita ktk uzawa na kuzuia immigrants. Uchumi una dictate ku create demands, the moment utakapokuwa na immigrants opportunities zinaji open zenyewe.
 
Mkuu creativity inatokana na kujiamini (High self esteem).Ni kweli kwa muda mrefu sisi watanzania tulikuwa na LOW self esteem. Kila kitu KIZURI tunajifananisha na nchi JIRANI.Hata kwetu sasa kuna Creativity/Ubunifu!

Ni kweli, si hivyo tu bali pia inatokana na experiences ulizozipitia huko nyuma ktk maisha.
Immigrants huwa wamepitia experiences nyingi sana ktk maisha na ndiyo maana huwa wazuri sana ktk kukuza uchumi wa nchi hasa ktk ku create jobs. Anajua hapo alipo yeye mwenyewe ndo baba,mama,babu,bibi shangazi na mtoto yeye .
 
Rais magufuli akitaka kufanikiwa awamu hii fanya hivi

Ruhusu immigrants waje wafanye kazi Tanzania bila working permit, kwa sababu.Wahamiaji huwa ni creative

Ok, topic nzuri. Ila wahamiaji wachukuliwe wenye skills. UK inachukua kutoka India wale trading brokers, Drs, na Software engineer. Tanzania haihataji wsukuma mikokoteni, inahitaji creative skills people.

DUAL citizenship THUMBS UP. Mimi mmoja wapo tunaopata tabu kuja nyumbani. Unataka kufanya miradi 100 lakini huna njia because I feel I am outsider now. Miradi ndio maendeleo ya nchi, miradi inaleta ajira za wananchi. Ikiwa serekali itaendelea na single citizenship, ni upumbavu. Hakuna sababu yoyote wa Tanzania waliokua nje wasipewe Passport.
 
Tanzania hakuna kazi sababu yakuweka ngome, wote wanabaki na mawazo ya aina moja yasiyokuwa creative na mwisho wake wote wanataka kazi kutoka serikalini kwa sababu hawawezi ku create kazi wamejifunga kwenye box la uzawa.

Serikali ikitaka kutoka humo na iachane na pressure kutoka kwa wananchi kwamba imezuia ajira nk, yapaswa kuruhusu immigrants waje wawafundishe wazawa namna yakutengeneza kazi. Itakuwa kama ulaya hivyo hivyo, ndugu yangu.

Tatizo la ajira Tanzania ni mindset iliyojikita ktk uzawa na kuzuia immigrants. Uchumi una dictate ku create demands, the moment utakapokuwa na immigrants opportunities zinaji open zenyewe.

Ok Kaka naona tunaongea kwwnye angle tofauti, we mwenzangu uko kwenye angle za kufananisha Tanzania na Ulaya Marekani pmoja na nadharia za kufikirika lakini sio za uhalisia

Hicho unachokiongea kiuhalisia Tanzania bado sana,

Kuna nchi kama South Africa imeendelea sawa na baadhi ya nchi za Ulaya, kuna viwanda karibu vya kila kitu, kuna mAshamba makubwa, maduka makubwa, lakini wanaangaika sana na swala la ajira kwa wazawa, miaka ya nyuma wageni walikuwa wanapata kazi sana lakini sasa hakuna kazi kwa foreigner zaidi ya kuuza unga na kukaba, imagine kwa sasa Kampuni inayopewa tender ya Barabara South Africa wanakuwa limited na mashine watakazo tumia kwenye kazi ya Barabara, wanapewa masharti ya kutumia mashine chache na kazi nyingi ziwe za manual ili hiyo project iwe na ajira ya watu wengi na ichukue muda mrefu

Sasa kama South Africa wenye mpaka viwanda vya Magari, Chopper wanashindwa kuajiri foreigner ndio iwe Tanzania?

Pia liweke hili akilini, zaidi ya 60% ya Watanzania ni vijana na nusu yao hawana kazi za kueleweka
 
Badala ya kushauri Serikali ijenge uwezo isomeshe watu wake, wewe unajenga hoja turuhusu Immigrants.
Kwanza hoja zote ni Fallacy! Kwa sababu.
1. Siyo Immigrants wote ni skilled na creative, wengine vilaza
2. Raia Kushiriki siasa au kuandamana siyo kitu kibaya, bali vipo kwa mujibu wa sheria.
 
Kukataa Dual citizenship. Nikithibitisho kingine hatuna wataalamu.

Dual citizenship ni by design lazima ilihusiwe. Na Elimu tuliyo nayo kwa kujifungia sababu hatutaki dual citizenship hatutatoka hapo tulipo hata ashuke nani.
Hizi sera za nchi yetu kujifungia zitatucheleweshea maendeleo tu. Wanzetu wanatafuta namna yakujichanganya zaidi na dunia sisi tunaangalia namna tutakavyojifungia ndani tusionekane wala kuzoeleka. Nashangaa tunachoofohia ni nini?
 
Ok, topic nzuri. Ila wahamiaji wachukuliwe wenye skills. UK inachukua kutoka India wale trading brokers, Drs, na Software engineer. Tanzania haihataji wsukuma mikokoteni, inahitaji creative skills people.

DUAL citizenship THUMBS UP. Mimi mmoja wapo tunaopata tabu kuja nyumbani. Unataka kufanya miradi 100 lakini huna njia because I feel I am outsider now. Miradi ndio maendeleo ya nchi, miradi inaleta ajira za wananchi. Ikiwa serekali itaendelea na single citizenship, ni upumbavu. Hakuna sababu yoyote wa Tanzania waliokua nje wasipewe Passport.

Ni kweli kabisa mkuu.
Mwekezaji mzawa Mtanzania akiwekeza Tanzania ni mara chache kuhamisha hata hiyo faida kuitoa Tanzania, badala yake ataicha hukohuko. Dual citizenship mhimu sana, kuendelea tunavyoendelea sijui nini wananufaika nacho, "usalam" sifikirii.
 
Back
Top Bottom