mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,570
ningekuwa na uwezo ningemfufua babu MWALIMU J.K.NYERERE.Hao wengine ni wamiss kwa kipi!!uwekezaji,maisha bora kwa kila mtanzania kipi kilifanikiwa?Tanzania ya viwanda nayo mchelemchele
MTU mwenye busara huwa na akiba ya maneno kama utakuwa hai naomba haya maneno yako uyakumbuke muda ukifikaKikwete ni case tofauti sana, yule ndiye mwanasiasa pekee hapa Tanzania ambae ni professional na yupo complete. Ana nidhamu, hekima, busara, msikivu pia ana maamuzi magumu. Japo ana mapungufu yake kama binadanu, hasa kuendekeza 'ushkaji' lakini anabaki kuwa mwanasiasa bora katika ardi ya TZ.
Magufuli is the other way round. Ana kiburi, mnoko, mshamba, hana busara wala hekima, si msikivu, ni mkurupukaji, maamuzi yake si magumu bali ya kindezi. Hua najihisi niliikosea sana nchi yangu mwaka 2015, waTZ mnisamehe sana kwa kuwasaliti, sitampa tena ******** kura yangu. Na sioni uwezekano wa yeye kukumbukwa baada ya kustaafu.
" marinda" weka akiba ya maneno nduguMAGUFULI hatapicha yake ndio nikiona naweuka mchana na usiku, nikija kummisi kichaa aliepewa RUNGU,Basi kumbe nitakua sina MARINDA.
Samahani sijelewa edit kwanza maandishi yako ... unakurupuka tu matokeo yake unaandika vitu havieleweki ...
Kwa kweli sijaelewa chichote
EE baba uwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo.JPM jembe yule....hatujawahi kupata rais mzuri kama JPM, yaani baada ya Nyerere ni JPM. Lazima tutammiss tu.
Nyie ndio mmetuletea haya matatizo,mliambiwa mkawa hamuelewi kabisaKikwete ni case tofauti sana, yule ndiye mwanasiasa pekee hapa Tanzania ambae ni professional na yupo complete. Ana nidhamu, hekima, busara, msikivu pia ana maamuzi magumu. Japo ana mapungufu yake kama binadanu, hasa kuendekeza 'ushkaji' lakini anabaki kuwa mwanasiasa bora katika ardi ya TZ.
Magufuli is the other way round. Ana kiburi, mnoko, mshamba, hana busara wala hekima, si msikivu, ni mkurupukaji, maamuzi yake si magumu bali ya kindezi. Hua najihisi niliikosea sana nchi yangu mwaka 2015, waTZ mnisamehe sana kwa kuwasaliti, sitampa tena ******** kura yangu. Na sioni uwezekano wa yeye kukumbukwa baada ya kustaafu.
we itakua huna marinda kitambo tuuMAGUFULI hatapicha yake ndio nikiona naweuka mchana na usiku, nikija kummisi kichaa aliepewa RUNGU,Basi kumbe nitakua sina MARINDA.
MAGUFULI hatapicha yake ndio nikiona naweuka mchana na usiku, nikija kummisi kichaa aliepewa RUNGU,Basi kumbe nitakua sina MARINDA.
ndio hasira za kujibu ...Na wewe chichote ndiyo nn ?
Umefanya vyema kijana kutubu dhambi uliyotenda. Endelea kufanya malipizi kwa kuanika madhaifu yote ya mkuu mpaka 2020.Kikwete ni case tofauti sana, yule ndiye mwanasiasa pekee hapa Tanzania ambae ni professional na yupo complete. Ana nidhamu, hekima, busara, msikivu pia ana maamuzi magumu. Japo ana mapungufu yake kama binadanu, hasa kuendekeza 'ushkaji' lakini anabaki kuwa mwanasiasa bora katika ardi ya TZ.
Magufuli is the other way round. Ana kiburi, mnoko, mshamba, hana busara wala hekima, si msikivu, ni mkurupukaji, maamuzi yake si magumu bali ya kindezi. Hua najihisi niliikosea sana nchi yangu mwaka 2015, waTZ mnisamehe sana kwa kuwasaliti, sitampa tena ******** kura yangu. Na sioni uwezekano wa yeye kukumbukwa baada ya kustaafu.
Wana JF
salaam
Natumai shangwe, nderemo, vifijo, msisimko na furaha ya kumuona Dr Jakaya Kikwete katika ukumbi maalumu wa wageni viongozi waalikwa pale bungeni zilizotokea,wabunge walishindwa kujizuia kuonesha furaha ya kumkosa sana Mh Rais mstaafu Luteni Kanali mstaafu Dr Jakaya Kikwete baada ya kuhudhuria mualiko wa Bunge, Bunge lililipuka kwa furaha baada ya kumuona Dr Kikwete, mpaka Mh Spika mh Job Ndugai alisema hajawahi kuona mgeni mualikwa bungeni anashangiliwa hivyo na kwa muda mrefu hivyo waliommiss Kikwete WAPO, Aidha nahisi itakua hivyo kwa Dr Magufuli akistaafu urais na akijakupata mualiko wa Bunge ikitokea tukio la yeye kualikwa, wabunge wataonesha shangwe na nderemo kwa Magufuli.