Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

Wanajf wengi walimpendekeza Dr Ndalichako kuwa waziri wa elimu na Mh Rais amewasikia pia. Huyu mama aliwahi kuwa katibu mkuu wa necta. Hongera sana fanya kazi huko kumeoza kabisa.
 
Katika jambo ambalo nilikuwa naliomba kama elimu ya Tanzania inahitaji uboreshaji ni kuteua huyu mama Nadlichako .Tuliona alivyoboresha elimu akiwa Balaza.Alifanyiwa zengwe tu pale Balaza lakini kwa rais mwenye busara na unahitaji elimu iboreke huwezi kumwacha mtu kama mama Ndalichako.Hongeraaa.
 
sasa ni dhaili kuwa elimu ya tz itaimalika tena
amakweli rais wetu ni genius na anaipenda tz Mungu amlinde
 
Back
Top Bottom