swalehe shiza
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,616
- 2,386
Mla rambirambi ametumbua wezi wenzake
Siasa at work.Kilio cha mda mrefu Dodoma Leo Chapatiwa Ufumbuzi Nitakuchagua Tena 2020
Rais Dkt Magufuli ameivunja Rasmi Mamlaka Ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma(CDA) Na Ameagiza Mali Na Shughuli Zote Zilizokuwa Zikifanyika Na CDA Zihamishiwe Halmashauri Ya Manispaa Ya Dodoma
View attachment 509611View attachment 509612
Cda ipo toka nikiwa dogo ila hamna ilichofanya!Halmashauri itaweza kweli kusimamia masuala ya ardhi, labda kama wataunda mamlaka nyingine
CDA ilikosa ufanisi
na dhumuni lake hakwenda ilivyo takiwa
Safi sana Mh Rais
Wewe ulikuwa wapi!!bendera fuata upepo.
Mlikuwa wapi siku zote hamkusema hayo.
Watu mna PhD za unafiki.
Wewe ulikuwa wapi!!
Vibendera pekee ulimwenguni ni wafuasi wa chadema
Nchi nzima mambo yanaenda kwa kupitia halmashauri za wilaya so watashindwa nini? Ni sawa tu na Kigamboni KDA ilikuwa inachelewesha maendeleo ya wananchi.Na hiyo ndiyo hofu yangu. Ukisikia fungulia mbwa ndiyo hii. Madiwani wanaanza kugawana hadi maeneo ya wazi. Mambo ya hovyo tutaanza kuyasikia Dodoma kama ilivyo maeneo mengine. Binafsi nilihisi CDA ni best practice na inatakiwa ifanyike hivyo kwenye Miji mingine muhimu kama ilivyo kwa Kigamboni Development Authority.
CDA ilikuwa imara sana.Na hiyo ndiyo hofu yangu. Ukisikia fungulia mbwa ndiyo hii. Madiwani wanaanza kugawana hadi maeneo ya wazi. Mambo ya hovyo tutaanza kuyasikia Dodoma kama ilivyo maeneo mengine. Binafsi nilihisi CDA ni best practice na inatakiwa ifanyike hivyo kwenye Miji mingine muhimu kama ilivyo kwa Kigamboni Development Authority.
Kigamboni Development authority imefanya kitu gani japo kimoja ukijuacho mbali na kutengeneza clip ya 3D ya New city na kuitangaza bila hata kuwashirikisha wadau namba moja wa maendeleo (Wananchi)Na hiyo ndiyo hofu yangu. Ukisikia fungulia mbwa ndiyo hii. Madiwani wanaanza kugawana hadi maeneo ya wazi. Mambo ya hovyo tutaanza kuyasikia Dodoma kama ilivyo maeneo mengine. Binafsi nilihisi CDA ni best practice na inatakiwa ifanyike hivyo kwenye Miji mingine muhimu kama ilivyo kwa Kigamboni Development Authority.