Rais Magufuli ahutubia wana Kagera: Aitaifisha shule ya Omumwani inayomilikiwa na CCM

Naona yanajirudia tu yale yale ya "hatutajenga nyumba za wananchi, watu wasijinufaishe na misaada. Sijui nimekaa kwenye konstiraksheni indasitiry kwa zaidi ya miaka 20. Sijui hakuna nchi yoyote duniani serikali ikaanza kujenga nyumba za wananchi kwenye majanga.. Naona amerudi kwenye majizi na mafisadi

Namuacha aendelee kuongea mimi naambaa ambaa kama mwewe!
usiambaeambae mbali,ruka ruka karibu na tv,just in case!
 
Kuna Chanel gani nyingine inaonyesha live me natumia digitek decoder kuangalia TBC lakini inakata kata siwezi ona kitu kabisa Chanel zingine zipo clear kabisa
 
Kwanini kwanza hajawaadhibu waliochagua shule ya CCM badala ya za serikali?Sasa anawaokoa kw akuichukua hiyo shule baada ya malalamiko kuwekwa huku jukwaani long time?Au ndi ulikuwa mpango wa CCM sasa umebuma ndio wanaamua piga changa la macho tena?Na huo usajili utangazwe mapema kwamba shule imeshahamishwa na isisrudishwe tena kinyemela.
 
mkuu,unaweza nipa jina la huo uzi?
 
Habari wakuu,
Tuwe pamoja kujuzana yanayojiri Bukoba ambapo Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania anahutubia wakazi wa Bukoba na watanzania kwa ujumla.
=====

Magufuli: Cement imechangwa zaidi ya 30,600 na mabati zaidi 31,000. Wananchi wameshaanza kupewa, wengine wamejengea na wengine wameuza.

Kamati ya maafa Mkae na mfahamu kila senti imeenda wapi, kuna pesa hainekani imetumika wapi.

Magufuli: Hatutajenga nyumba za wananchi, hakuna sehemu yeyete duniani tetemeko likitokea, serikali inajenga nyumba za wananchi. Nyumba zimebomoka zaidi ya 2,000.

Rai Magufuli ametaifisha shule ya Omumwani inayomilikiwa na Jumuiya ya wazazi(CCM) mkoani Kagera.

kwa vile hivyo nchi wananchi wana bima zinazofanya kazi vyema za nyumba,afya na vipat vikubwa bank. Mbaya hizo hela sio za serikali ila ni za wasamaria wema kwa lengo la kuwajengea watu.
 
Back
Top Bottom