mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
Magufuli ni heaven sent
kama kawa
Duu kwa mara ya kwanza leo namwona Magufuli kasimama peke yake bila walinzi wake ,hapo madhabahuni
Unataka kujua nini? Huyu jamaa kabla ya kuwa rais alijenga nyumba ya 'ibada' kijijini kwao kwa madhehebu yote kuabudia....hi huyu dhehebu gani
RAIS MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA PASAKA KANISA LA KKKT LA AZANIA FRONT JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mchungaji Charles Mzinga alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Magufuli wakishiriki na waumini wengine Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016

Kwaya na Matarumbeta wakiwajibika wakati wa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini huku akisikilizwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa na Mchungaji Chalres Mzinga baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016

: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Rebecca Malasusa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiombewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa na Mchungaji Charles Mzinga wakati wa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiama na kikundi cha Matarumbeta na Kwaya baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na waumini baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Kwaya ikitumbuiza baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana -na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa na Mchungaji Charles Mzinga wakati wa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapungia waumini baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitambulisjhwa kwa baadhi ya wazee wa kanisa baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na baadhi ya wazee wa kanisa baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpa zawadi mtoto baada ya Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2016
The technique of this guy is a bit unorthodox but equally brilliant.
hata msoga mbn amesali sana tu church shida yako nn?Kama kawaida mdada wa twende kilioni yupo kikazi kumlinda presidia.
Viongozi Wetu wakimkimbilia Mungu na Kuacha kukimbilia kwa Wachawi Nchi Hii itabarikiwa Sana. Mungu Akubariki Mh Rais Mtafute Mungu Wewe Pamoja na Nyumba Yako, Waambukize na Wasaidizi Wako, Nchi Hii Itoke Chini ya Laana.
Magufuli ni heaven sent
hata msoga mbn amesali sana tu church shida yako nn?
Ni kweli, huyu ndiye anayetufaa. Unorthodox techniques and methods ndizo ambazo zitatukomboaThe technique of this guy is a bit unorthodox but equally brilliant.
Hongera sana dada yangu..mko saloon gani?Mimi nipo na dada wa twende kilioni, yuko vizuri kwa kazi yake. Kusali mbona kawaida sana.
An act deserving Oscar awardThe technique of this guy is a bit unorthodox but equally brilliant.
Vile vinavyjadili kumpa fisadi nchi???Hili Ni Tatizo. Dini Si Siasa. Hizi Mbwembwe Zikome. Leo Mnachekelea Ila Kesho Mtastaajabu. Kwa Ukarimu Wake Ahudhurie Na Vikao Vya Ukawa Pia!