REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,644
- 9,871
Benson bana kapiga zumari wee hatimaye amekumbukwa
Prof Dr ndio umemaanisha madudu gani?
SECRETARY-GENERAL OF AALCO
H.E. Prof. Dr. Kennedy GASTORN, of United Republic of Tanzania, is the sixth Secretary-General of the Asian-African Legal Consultative Organization (AALCO).
He took office on 15th August, 2016. He was elected for a four-year term at the Fifty-Fifth Annual Session held in New Delhi (HQ), India.
Prof. Gastorn read Bachelor and Master’s in law from University of Dar es Salaam, Tanzania in 2003.
He earned his doctorate from University of Bayreuth, Germany in 2007.
Prior to his current appointment, Prof. Gastorn was the Director of International Affairs of the University of Dar es Salaam, Tanzania and the immediate past Head of the Department of Public Law, University of Dar es Salaam School of Law. He was also a member of the National Environmental Advisory Committee in the Vice President’s Office United Republic of Tanzania.
As the Secretary General of AALCO, Prof. Gastorn’s priority is to reinforce AALCO as the “hub” for collective dialogue on legal concerns of the Member States from Asia and Africa. He also aims to generate new momentum among the Member States to actively participate in AALCO activities and to encourage and welcome countries from Asia and Africa to become new members of AALCO.
His vision is to build a strong working relationship with the United Nations, the International Criminal Court (ICC), International Law Commission (ILC), the World Trade Organization (WTO) and regional organizations like Association of Southeast Asian Nations (ASEAN), African Union, Economic Cooperation Organization (ECO) and South Asian Association for Regional Cooperation (SAARC). He also hopes to increase the scope of engagement with other IGOs and regional organizations.
Source : https://trac.ir/aalcos-secretary-general/
Umesikika Praise and Worship Member. Endeleeni kusifia Ujinga wa Jiwe wenu huyo. Mmejawa na Chuki na Majungu tu mnapelekeana.Wanaume kama nyie bado mpo. Hongera. Unafumania mkeo live. Unampongeza kuogopa gharama. Unapima gharama kwa vigezo gani na kwa hasara ya Nani.
Source : http://zanzibar24.co.tz/29-wapata-uteuzi-leo-yumo-mkurugenzi-idara-ya-usalama-wa-taifa/Kesi ya Mkulima kushikilia ndege ya Air Tanzania imezidi kuondoka na watumishi wa juu wa serikali na sasa imekula kichwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Mm mfanyabiashara mkubwa hapa Kilindi hata mimi sitegemei msaada wa mtu yoyote yuleMimi ni mkulima mkubwa sana hapa Kakonko hivyo sitegemei msaada wa mtu yeyote yule
Mm mfanyabiashara mkubwa hapa Kilindi hata mimi sitegemei msaada wa mtu yoyote yule
Tuliingia cha kike aiseee kuletewa hilo jituHujakosea Mkuu, huoni ana Gubu hatari.
Mbona wewe una rangi ya mtumeyule Ngosha anapenda watu weupe sio mimi lol
Bw. Jestas A. Nyamanga, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Tanzania akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Italia hapa nchini Mhe. Roberto Mengoni |
Bw. Jestas A. Nyamanga akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mengoni mara baada ya kumaliza mazungumzo kati yao |
ma uteuzi kila siku halafu hakuna ufanisi wowoteMatangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam kuhusu uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli yatawajia kuanzia saa 9:20 alasiri leo tarehe 20 Septemba, 2019.
View attachment 1212456
========================
Rais Magufuli amefanya mabadiliko ambapo, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Charles Kabeho, amehamishiwa wilaya ya Chato na Mkuu wa Wilaya ya Chato Msafiri Mtemi amehamishiwa Wilaya ya Tarime.
Rais John Magufuli memteua Lowata Sanare kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, pia amemteua Musa Masele kuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro.
Rais Dkt Magufuli ameteua Mabalozi 12 ambao wataiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali. Uteuzi huo unatokana na vituo hivyo ama kuwa wazi, Mabalozi kumaliza muda wao, kustaafu au kurejeshwa nyumbani ambapo watapangiwa kazi nyingine.
Modestus Kipilimba, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ameteuliwa kuwa Balozi. Kituo chake cha kazi kitatangazwa baadae.
Majina kamili ya Mabalozi walioteuliwa ni
1. Mohamed Mtonga
2. Dkt. Jilly Maleko
3. Dkt. Benson Bana
4. Meja Jen. (Mst), Anselimu Bahati
5. Prof. Emmanuel Mbennah
6. Maimuna Tarishi
7. Meja Jen. (Mst) Gaudence Milanzi
8. Ali Jabir Mwadini
9. Dkt Modestus Kipilimba
10. Jestas Nyamanga
11. Prof. Dr. Kennedy Gaston
12. Mhandisi Aisha Amour
Hapa kunahitaji ufafanuzi je hili ni kosa la. Kawaida??Mbwembwe za waswahili bana...sasa Prof.Dr. ndo Kitu gani, Kwamba Huyu mshikaji kasoma sana ama😅😅
the German system it is not uncommon to list all honorifics, so something like Prof Dr. Dr. Dr. Smith would be someone with a single professorship and 3 doctorates.Hapa kunahitaji ufafanuzi je hili ni kosa la. Kawaida??